Nyumba ndogo inanichanganya

Of coz kako imara
kila idara na kweli nilikuwa natoboka sio ndio ka sub house kangu bana.
By the way an not sure whether this stupid chap will get married to her
or she is just playing around!!! MY GOD AM JUST GETTING CRAZY

Na bado utaumia sana! Wewe ulivyokua unagawa haki ya mkeo? Mtenda akitendewa....
 
Kwakweli haka kabinti ni kazuri sana na nimekuwa nako kama mwaka sasa.
Sasa hivi kananiambia kamepata mchumba kwani nami pia nina mke. Uroda kanaendelea kunipa ila ikifika jumamosi sikaoni tena eti kanakwenda kwa faience wake.

Ofcoz inauma ila shida yangu ni moja how can I justify kwamba alikuwa kweli kwa huyo fiancee wake alikuwa tena anapiga kazi za nje? Nikitakaga kukatema kanabembeleza kweliiiiiiiiiiiiii mpaka namwonea huruma.

Please JF advise how can I go about it?

Mla huliwa. Inawezekana mkeo naye ndo anakufanyia hivi. Nakushauri acha huu mchezo kamanda. Dhambi ya Uzinzi inasababisha maisha ya watu kuwa mabaya sana, kila balaa litakuwa lako. PLS STOP WHAT U'RE DOIN
 
Yani wanaume wengine sijui hata niwaweke kwenye kundi gani??ptuuuuu!
 
Unaendekeza ***** alafu unakuja kutujazi humu jf ujinga ujinga ambao umeendekeza kwa faida na hasara zako?!
 
Kwakweli haka kabinti ni kazuri sana na nimekuwa nako kama mwaka sasa.
Sasa hivi kananiambia kamepata mchumba kwani nami pia nina mke. Uroda kanaendelea kunipa ila ikifika jumamosi sikaoni tena eti kanakwenda kwa faience wake.

Ofcoz inauma ila shida yangu ni moja how can I justify kwamba alikuwa kweli kwa huyo fiancee wake alikuwa tena anapiga kazi za nje? Nikitakaga kukatema kanabembeleza kweliiiiiiiiiiiiii mpaka namwonea huruma.

Please JF advise how can I go about it?

kweli ukimwi utaua watu wengi sana:A S cry:
 
kwakweli haka kabinti ni kazuri sana na nimekuwa nako kama mwaka sasa.
Sasa hivi kananiambia kamepata mchumba kwani nami pia nina mke. Uroda kanaendelea kunipa ila ikifika jumamosi sikaoni tena eti kanakwenda kwa faience wake.

Ofcoz inauma ila shida yangu ni moja how can i justify kwamba alikuwa kweli kwa huyo fiancee wake alikuwa tena anapiga kazi za nje? Nikitakaga kukatema kanabembeleza kweliiiiiiiiiiiiii mpaka namwonea huruma.

Please jf advise how can i go about it?

nachukia wazinzi
 
huo ni uchafu na ulimbukeni wa mapenzi. Acha kuwa mshamba wa mapenzi. Unaonekana kama wewe ni mroho sana wa mabinti wadogo. Na uhakika unawea hata kutembea na binti yako wa kumzaa kam siyo mama yako mzazi au dada yako. Unamuonyeshaje binti mwingine maumbile yako? Jiheshimu si kila mtu unamvulia chupi na kusimamisha naniliii lako. Kama ulijiona hujamaliza starehe za dunia usingeoa.
 
Wewe inaonekana bado uko nyuma kimawazo,wakati huu sio wa kufanya ujinga huo na kujisifia na kuomba ushauri,ulipoanza nako mahusiano uliomba ushauri?Huo ni ushamba!
Utakufa uache watoto wako wanahangaika au ndio umeanza kushika hela sasa zinakuchanganya?
 
unafikiri yeye haumii unavyoenda kwa mkeo na kumuacha pekeyake. Tumia akili. Kula na wewe uliwe
 
acha ufala unaumia nini wakati na wewe unatoka nje ya ndoa. Unasaliti na unasalitiwa vilevile
 
Acha michepuko. Baki njia kuu. Kama hujarudi bado hujachelewa, tubu haraka kama mambo bado hayajakuharibikia.
 
Kwakweli haka kabinti ni kazuri sana na nimekuwa nako kama mwaka sasa.
Sasa hivi kananiambia kamepata mchumba kwani nami pia nina mke. Uroda kanaendelea kunipa ila ikifika jumamosi sikaoni tena eti kanakwenda kwa faience wake.

Ofcoz inauma ila shida yangu ni moja how can I justify kwamba alikuwa kweli kwa huyo fiancee wake alikuwa tena anapiga kazi za nje? Nikitakaga kukatema kanabembeleza kweliiiiiiiiiiiiii mpaka namwonea huruma.

Please JF advise how can I go about it?

Be a man bwana unatudhalilisha wanaume wenzio,una mke afu bado kamchepuko kanakusumbua:what::what::what::what:tulia na mkeo au oa awe wako kama unampenda.
 
Kwakweli haka kabinti ni kazuri sana na nimekuwa nako kama mwaka sasa.
Sasa hivi kananiambia kamepata mchumba kwani nami pia nina mke. Uroda kanaendelea kunipa ila ikifika jumamosi sikaoni tena eti kanakwenda kwa faience wake.

Ofcoz inauma ila shida yangu ni moja how can I justify kwamba alikuwa kweli kwa huyo fiancee wake alikuwa tena anapiga kazi za nje? Nikitakaga kukatema kanabembeleza kweliiiiiiiiiiiiii mpaka namwonea huruma.

Please JF advise how can I go about it?

Mbona Hii Thread Ni Ya Mwaka 2012.Mpaka Leo Hii Mtoa Mada Si Atakua Ameshakufa Kwa Ngoma
 
Unaharibu jina la mtandao huu....ww ni mwanaume kweli au wale wale wavaa debweza
 
Back
Top Bottom