dah....kuwa m'mbadala mbaya eeh.........
Hukuacha hesabu. Unategemea
nini sasa .hizo sms ulizo mtumia ni zile za kuford zenye mkristma
ambazo tayari alishazipata kibao. Unadhani yeye hajui kwamba unamdhihaki
.Halafu akikupigia cm usimkimbie mkeo kwenda nje kupokea hiyo call.
Tumekubaliana atakupigia leo usiku saa nne wakati ukiwa umetulia usije
kuzima cm sasa
​umeona eeeeee!!!yaan dalili za ukimwi siyo mpaka ukapimwe , ukimwi unaua kwa wale wanaopendana na siyo kwa bahati mbaya
Hajui una mke na watoto?...kwanza kwanini humheshimu mkeo?!
Hahahahaha huyo wa nyumba ya kati huku kwetu twamwita 'bi mkati'
Hapa ndo napopenda kuhusu kuolewa...HATA UMMEGE MUME WANGU VIPI ,UTAISHIA KUWA 2nd CHOICE anakutumia tu tna kw kificho,me ndo ntakuwa na'spend nae tym zote nzuriii at OUR HOME na bata with my children,Vacations nk....
kuwa small house ya mtu yataka moyo wa chuma aisee.
Yani unachanganyikiwa kabisaaaaa?dah, kweli nyumba ndogo ina nguvu!pole rafiki.
Niko Mombasa kwa mapumziko ya X-mas na mwaka mpya. Nimesafiri na wife na watoto. Shida sub-house imekasirika sana haitaki mawasiliano na mimi, hapokei simu wala hajibu message. Mimi wanawake wengine sijui wakoje bana.
Hahahaa haaaa
balaaaa