Nduka Original
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,012
- 817
- Thread starter
- #41
Pole,,,
Watu wanakuponda as if hawafanyi hii kitu anu ni jambo geni..................
Kula roho kitu inapenda na ukirudi muombe msamaha kwa kumuacha peke ake sikukuu hii.
Thanks Tinna wewe unanipa moyo