Sasa kinachokushangaza nini hapo???Niko Mombasa kwa mapumziko ya X-mas na mwaka mpya. Nimesafiri na wife na watoto. Shida sub-house imekasirika sana haitaki mawasiliano na mimi, hapokei simu wala hajibu message. Mimi wanawake wengine sijui wakoje bana.
Ni ngumu Passion, ningemwambiaje Mama? let's be fair
tafuta nyumba size ya kati sasa maana una nyumba kubwa,ndogo bado ya size ya kati.
Acha nayeye ajinafasi na wakwake ukirudi atapokea cm zako!..
Anakupenda ndo maana ana wivu na wewe.
lol nani kakudanganya hvo?kwa hzo strec ulizompa lazima tu akazipunguze smweaNi mtu anaejiheshimu bwana hawezi fanya vitu kama hivyo
Nyumba ndogo kwako kubwa kwa mwenzio,kubwa yako mwenzio mpangaji...huu tunaita mpishano wa majukumu!