swahibu ramadhani Member Apr 30, 2021 49 28 Jul 30, 2021 #1 Ndugu zangu Mimi nataka kujenga nyumba ya vyumba viwili na sebule vyenye meter 4 lakini choo Cha public ni Cha nje. Muundo wa nyumba ni wa(L) Inaweza kugalimu shingapi mpaka kuamia. Msaada please.
Ndugu zangu Mimi nataka kujenga nyumba ya vyumba viwili na sebule vyenye meter 4 lakini choo Cha public ni Cha nje. Muundo wa nyumba ni wa(L) Inaweza kugalimu shingapi mpaka kuamia. Msaada please.
mdukuzi JF-Expert Member Jan 4, 2014 16,099 36,043 Jul 30, 2021 #2 Ungewawekea sketch map wataalam watiririke ila room m 4 ni bonge la room kubwa sana
Faana JF-Expert Member Dec 12, 2011 31,908 33,344 Jul 30, 2021 #3 swahibu ramadhani said: kuamia.. Click to expand... Ni kufukuza ndege waliovamia shamba la mpunga a mazao mengine
swahibu ramadhani said: kuamia.. Click to expand... Ni kufukuza ndege waliovamia shamba la mpunga a mazao mengine
T Tony Laurent JF-Expert Member Jan 5, 2011 4,728 5,444 Jul 30, 2021 #4 Mafundi wa ujenzi njoni mtoe msaada kwa mdau. Kwa muundo huo wa nyumba nafikiri gharama haiwezi kuwa kubwa sana. Haya maramani ya kisasa yanafanya gharama za ujenzi kuwa kubwa sana.
Mafundi wa ujenzi njoni mtoe msaada kwa mdau. Kwa muundo huo wa nyumba nafikiri gharama haiwezi kuwa kubwa sana. Haya maramani ya kisasa yanafanya gharama za ujenzi kuwa kubwa sana.
DR HAYA LAND JF-Expert Member Dec 26, 2017 18,040 45,621 Jul 30, 2021 #6 joshua_ok said: 1.5m inatosha kabisa Click to expand... Uongo
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Nov 25, 2010 62,204 128,022 Jul 30, 2021 #7 bila kuweka ramani hapa itakua ni biashara kichaa
Crumpy Crumper JF-Expert Member Dec 20, 2016 2,351 3,295 Jul 30, 2021 #8 Mita 4 ni Futi 12 hizo mzee, hivyo ni bonge la MCHUMBA yaani