Nyumba inauzwa Sengerema - Mwanza 35mil

Son Of Almighty

Senior Member
Jun 28, 2017
123
428
Nyumba nzuri inauzwa Sengerema - Mwanza, eneo Ibisabageni bei 35mil.

Kiwanja kina ukubwa wa 450sqm
Kiwanja kimezungushiwa fensi na geti
Kuna kisima kimejengwa na kinatunza maji
Kuna tanki la lita 1000

Nyumba ina vyumba 3, kimoja Master
Sebule kubwa
Dining room
Jiko
Public Toilet ndani
Nyumba ina tiles yote
Nyumba ina gypsum board yote
Madirisha yote ni ya Alluminium
Umeme upo, na kuna unit 800
Maji yapo, bomba lipo.

Kwa mawasiliano 0624 167 441
Bei imeshuka 34m - maongezi yapo
Mmiliki ni mimi mwenyewe

Karibuni
IMG-20170222-WA0010.jpg
IMG-20170222-WA0004.jpg
1559227514022_IMG-20170222-WA0012.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom