House4Sale Bei imeshuka 29mil - nyumba inauzwa Sengerema

Son Of Almighty

Senior Member
Jun 28, 2017
125
438
Habari za mchana Wakuu.

Rejea kichwa cha habari tajwa hapo juu, nyumba nzuri inauzwa Sengerema - Mwanza na bei imeshuka mpaka 29mil.

Eneo lina ukubwa 450sqm.
Nyumba imezungushiwa fensi na kuna geti.
Nyumba ina Tanki la maji la lita 1000.
Kuna kisima kilichojengewa vizuri.
Maji yapo na bomba lipo connected to house.
Umeme upo na kuna units 875, hivyo hutokuwa na gharama za kununua umeme kwa takribani miezi 8..

Nyumba imewekwa tiles yote.
Nyumba imewekwa gypsum board yote
Nyumba imewekwa madirisha ya Aluminium.
Ina vyumba vitatu, kimoja Master.
Ina sebule kubwa.
Ina dinning kubwa.
Ina jiko.
Ina Choo cha public ndani.

Nyumba ipo mjini, sehemu nzuri na tulivu.

Karibu ujipatie nyumba kwa manufaa yako na familia, kumbuka maisha ni nyumba. Epukana na gharama za kupanga, jipatie nyumba bora na nzuri.

Kwa mawasiliano, 0624 167 441

Wote mnakaribishwa
 

Attachments

  • IMG-20170222-WA0010.jpg
    IMG-20170222-WA0010.jpg
    61.9 KB · Views: 38
  • IMG-20170222-WA0014.jpg
    IMG-20170222-WA0014.jpg
    79.4 KB · Views: 41
  • 1559227514022_IMG-20170222-WA0012.jpg
    1559227514022_IMG-20170222-WA0012.jpg
    91.6 KB · Views: 36
  • IMG-20190319-WA0012.jpg
    IMG-20190319-WA0012.jpg
    24.9 KB · Views: 33
  • IMG-20190319-WA0004.jpg
    IMG-20190319-WA0004.jpg
    33.7 KB · Views: 41
  • IMG-20190319-WA0010.jpg
    IMG-20190319-WA0010.jpg
    27.5 KB · Views: 30
Exchange nakupa gari yangu IST no.D saafi.... Una nipa iyo nyumba
naijatwittersavages-20190517-0001.jpeg
 
Aongee na rais wetu ujui ni mtalamu sana wa kuuza nyumbaa ...rejelea nyumba za serikali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom