Nyumba nzuri ya Kisasa inauzwa Mwanza, wilaya ya Sengerema bei 35m

eddyiko

eddyiko

Member
Joined
Jun 28, 2017
Messages
39
Points
125
eddyiko

eddyiko

Member
Joined Jun 28, 2017
39 125
Habari za jioni Wakuu..

Tafadhali rejea kichwa tajwa hapo juu.

Nyumba nzuri na ya Kisasa inauzwa, iko wilaya ya Sengerema katika mkoa wa Mwanza..

Nyumba ina vyumba 3, kimoja Master.
Sebule kubwa, dining hall na jiko.
Ina public toilet ndani.
Ina Kisima kilichochimbwa na kujengwa vizuri, zaidi Tanki la maji la lita 1000 lipo pia.
Maji yapo, bomba lipo na Kisima kinauwezo wa kutunza maji na ndani pia yanatoka.
Nyumba ina umeme tayari.
Madirisha yote ni Aluminum.
Ndani nyumba nzima ina Tiles na Gypsum Boards.

Note.
Ukubwa wa kiwanja ni 450sqm

Nafasi imebaki kubwa na imezungushiwa fensi pia na ina geti..

Eneo ni Sengerema - Ibisabageni, ipo mjini kabisa na eneo zuri kabisa.

Kwa mwenye uhitaji tafadhali wasiliana nami mimi ndiye mmiliki wa hiyo nyumba, ni pm kwa mwenye uhitaji basi ipo room for negotiation.

Pia kwa madalali naweka hii tenda, kwa atakayefanikisha kupatikana mteja na akainunua basi nitakupatia/utapata stahiki/malipo yako.

Natanguliza shukrani
 
OME123

OME123

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2010
Messages
1,583
Points
1,500
OME123

OME123

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2010
1,583 1,500
Je naweza kuruhusiwa kulipa nusu kwa mkupuo inayobaki nalipa ndani ya miezi 7 ijayo?
 
kikulacho...

kikulacho...

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Messages
314
Points
250
kikulacho...

kikulacho...

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2015
314 250
Habari za jioni Wakuu..

Tafadhali rejea kichwa tajwa hapo juu.

Nyumba nzuri na ya Kisasa inauzwa, iko wilaya ya Sengerema katika mkoa wa Mwanza..

Nyumba ina vyumba 3, kimoja Master.
Sebule kubwa, dining hall na jiko.
Ina public toilet ndani.
Ina Kisima kilichochimbwa na kujengwa vizuri, zaidi Tanki la maji la lita 1000 lipo pia.
Maji yapo, bomba lipo na Kisima kinauwezo wa kutunza maji na ndani pia yanatoka.
Nyumba ina umeme tayari.
Madirisha yote ni Aluminum.
Ndani nyumba nzima ina Tiles na Gypsum Boards.

Note.
Ukubwa wa kiwanja ni 450sqm

Nafasi imebaki kubwa na imezungushiwa fensi pia na ina geti..

Eneo ni Sengerema - Ibisabageni, ipo mjini kabisa na eneo zuri kabisa.

Kwa mwenye uhitaji tafadhali wasiliana nami mimi ndiye mmiliki wa hiyo nyumba, ni pm kwa mwenye uhitaji basi ipo room for negotiation.

Pia kwa madalali naweka hii tenda, kwa atakayefanikisha kupatikana mteja na akainunua basi nitakupatia/utapata stahiki/malipo yako.

Natanguliza shukrani
Weka picha katika tangazo lako bila picha tangazo halina maana
 
eddyiko

eddyiko

Member
Joined
Jun 28, 2017
Messages
39
Points
125
eddyiko

eddyiko

Member
Joined Jun 28, 2017
39 125
Sio ufa ni expansion joint...sema hayo madirisha ni ya kizamani sana.
Shukrani kwa maoni yako..

Japo nikushauri au nikupe angalizo, kila mtu hujenga kulingana na kipato zaidi katika style au dizaini aitakayo yeye mmiliki.

Na teknolojia hubadilika kadiri siku zinavozidi kusogea, na ukisema ushindane na teknolojia basi watu wanavunja nyumba zao kila siku.

Kikubwa ni kuishi nyumba ya ndoto yako na kulingana na kipato chako..

Karibu sana
 
M

myplusbee

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2016
Messages
2,633
Points
2,000
M

myplusbee

JF-Expert Member
Joined Jul 8, 2016
2,633 2,000
Shukrani kwa maoni yako..

Japo nikushauri au nikupe angalizo, kila mtu hujenga kulingana na kipato zaidi katika style au dizaini aitakayo yeye mmiliki.

Na teknolojia hubadilika kadiri siku zinavozidi kusogea, na ukisema ushindane na teknolojia basi watu wanavunja nyumba zao kila siku.

Kikubwa ni kuishi nyumba ya ndoto yako na kulingana na kipato chako..

Karibu sana
Manano mengi lakini unashindwa kuelewa! Kuanzia aliyesema nyumba ina ufa na huyo uliyemjibu kuhusu madirisha, wote ujumbe wao ni mmoja kwamba UWEKE PICHA ya hiyo nyumba manake hata mimi laptop yangu inaonesha nyumba yako ni ya ghorofa; sasa huoni bei unayouza ni rahisi sana?!
 
eddyiko

eddyiko

Member
Joined
Jun 28, 2017
Messages
39
Points
125
eddyiko

eddyiko

Member
Joined Jun 28, 2017
39 125
Manano mengi lakini unashindwa kuelewa! Kuanzia aliyesema nyumba ina ufa na huyo uliyemjibu kuhusu madirisha, wote ujumbe wao ni mmoja kwamba UWEKE PICHA ya hiyo nyumba manake hata mimi laptop yangu inaonesha nyumba yako ni ya ghorofa; sasa huoni bei unayouza ni rahisi sana?!
Mkuu naziweka, c mtaalamu sana wa jamiiforums ndo maana awali niliomba maelekezo jinsi ya ku upload but soon naziweka
 
Attachments:

Equation x

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Messages
6,268
Points
2,000
Equation x

Equation x

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2017
6,268 2,000
Picha ni muhimu mkuu,paa zake ni za aina gani?hazijawa jezi ya simba?
 
Forum statistics

Threads 1,316,003
Members 505,466
Posts 31,876,164
Top