Ellie
Senior Member
- Sep 2, 2011
- 123
- 15
Nyumba ipo boko California. Upande wa kushoto, nyumba ina 2bedrooms master inclusive, jiko na sitting room, iko kwa fence na in good condition, kodi ni 250,000 tshs,kwa mwezi na inalipiwa miezi minne kwanza then baada ya hapo ni mwezi kwa mwezi. Ni PM kwa muhitaji.