Nyumba inapangishwa, 120,000

Nyumba inapangishwa, 120,000

Nyumba nzuri......hata hiyo rent ni hasara tu
 
Huo mchezo unaoufanya hutopata mtu,nikupe kodi yangu ya mwaka ukarabati nyumba yako baada ya miaka 2 nyumba imeshaisha unipandishie kodi!!...
 
View attachment 623964 View attachment 607136 View attachment 607137 Wakuu habari za majukumu,
Napangisha Nyumba yangu. Hii ni mara ya pili naleta hili tangazo. Ila kuna baadhi ya vitu vimeboreka.
Sifa za Nyumba
-Vyumba vya kulala vitatu, kimoja master
Dinning
Jiko.
Sitting room
Tile kote
Varanda Mbili
Gypsum
Simtank
Rangi nyeupe, nje na ndani
Full fence
Ila Umeme mwezi ujao, kulikuwa na tatizo upande A kuvutia

Eneo: Ni mbezi msakuzi, kituo freetown

SimuView attachment 607133
Good
 
MKUU BADO HUJAPATA MTEJA kweli vyuma vimebana.. fanya 90,000 itapendeza/haitadhuru..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom