emmychaya76
Member
- Nov 30, 2017
- 31
- 31
Me natafuta ya elf 90 niko mbeya
Bado, umeme, ishuMKUU BADO HUJAPATA MTEJA kweli vyuma vimebana.. fanya 90,000 itapendeza/haitadhuru..
Mbeya hupati hata kwa dawa kwa hela hiyo. Kule nyumba ni chache, halafu watu wamezidi kuongezeka, labda chumba na sebule kwa hiyo au ubahatishe maeneo ya uyole.Me natafuta ya elf 90 niko mbeya
sawa mkuuJF hakuna wapangaji huku
cheki twitter
Tembelea website yetu ili uweze kutangaza upangishaji wa nyumba/chumba, kuuza/kukodisha shamba, kuuza nyumba, hotel/lodge..
Malazi Kiganjani | Welcome
Mkuu, mbona povu.. naharibu biashara ya Nani?Tengenezeni website yenu vizuri ndo uje humu kujitangaza acha kuzingua. Usilalie ridgiki ya mwenzio mlango wazi
Zipo boss inategemea na location,ukubwa ,ubora n.kMbeya hupati hata kwa dawa kwa hela hiyo. Kule nyumba ni chache, halafu watu wamezidi kuongezeka, labda chumba na sebule kwa hiyo au ubahatishe maeneo ya uyole.
Binti mfalme Anne kaguna .... naona ana jambo![]()
mmmmmhhh
Ni kweli, 1.5m inahitajika, ndio maana mtu akiridhia akalipia miezi sita, najichanga, ndani ya mwezi umeme unaingiaTatizo umeme
Ww unazijua mkuuZipo boss inategemea na location,ukubwa ,ubora n.k