golden pride
JF-Expert Member
- Oct 24, 2014
- 847
- 435
- Thread starter
- #61
notedSamahan nilifungua uzi afu simu nikaiweka mfukon yakajitype ile natoka tu nkabonyeza pa kureply bahat mbaya
notedSamahan nilifungua uzi afu simu nikaiweka mfukon yakajitype ile natoka tu nkabonyeza pa kureply bahat mbaya
Inaweza kuwa kweli mkuu ila kwa maisha ya sasa na watu wa mjini inakua ngumu kidogo kiamini maneno matupu, ikiwa bado wazi basi nitakua mwenye bahati.Mkuu umeme unaingia mwekidoo hauishi
Usijali, tena kama itakuwa wazi hadi muda huo, utaikuta ikiwa kali balaa, itakuwa kama paradisoInaweza kuwa kweli mkuu ila kwa maisha ya sasa na watu wa mjini inakua ngumu kidogo kiamini maneno matupu, ikiwa bado wazi basi nitakua mwenye bahati.
Panda gari hapo mbezi mwisho za kwenda magohe, shuka freetownHujatoa direction nzuri vipi kunafikika
Tuko pamoja mkuuAkikosekana mtu kabisa nishtue mimi nihamie huko
Usife moyo mkuu, utapata mtu, watu wasikukatishe tamaa, gharama za ujenzi ni kubwa najua unatamani hata kodi ingekuwa mara 2 ya hapo, mdogo mdogo utafikaNyumba bado ipo, anayetaka kuiona anakaribishwa
Karibu sana mkuuDuh naitamani hiyo nyumba maana ni karibu na site kwangu kule mbele kunaitwa Goma,mkuu ngoja niiweke katika mawazo hii naweza kuja kuicheki
Si ametaja sehemu ni Mbezi Msakuzi unashuka kituo kinaitwa Freetown au mnauliza nini?Siku huyu mtu akitaja location ni tag please
kwa mwezi mzigo ukoje mkuuKaribuni wakuu, Nyumba bado ipo
Kumbe zipo za bure, kuna jamaa yangu anaomba umsaidie akae huko. Pili Kwangu sio magohe, ni Freetown, magohe ni mbali
Huko Mpigi magohe hata za bure zipo. Watu wamejenga huko wanashindwa kuishi kutokana na umbali na town. Hivyo akijitokeza mtu anayetaka kuishi huko unapewa tu kwa mashariti ya kutunza mazingira. Hivyo hiyo bei ni ghali kwa freetown labda ungeanzia laki. Watu wenye mishe huko au mbezi mwisho wanaweza kuja kupanga.
120,000kwa mwezi mzigo ukoje mkuu
Mbna kataja ..mbez msakuzSiku huyu mtu akitaja location ni tag please
Watu wakiandika humu jua hawajakurupuka Mjomba, we hapa chini unaiona hiyo Mbezi Msakuzi??Si ametaja sehemu ni Mbezi Msakuzi unashuka kituo kinaitwa Freetown au mnauliza nini?