Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,334
Tunasubiria albamuNYUMBA hiyo ilijengwa mwaka 2012/2013 kwa ajili yangu wilayani Lushoto mkoani Tanga tena bila taarifa na bila idhini yangu. DJ. DON NALIMISON nilishangaa Sana kujengewa NYUMBA ya kishamba shamba Kama gofu huku hati ya NYUMBA imeandikwa jina la mtu mwingine. Unanijengea NYUMBA
Mungu wangu!NYUMBA hiyo ilijengwa mwaka 2012/2013 kwa ajili yangu wilayani Lushoto mkoani Tanga tena bila taarifa na bila idhini yangu. DJ. DON NALIMISON nilishangaa Sana kujengewa NYUMBA ya kishamba shamba Kama gofu huku hati ya NYUMBA imeandikwa jina la mtu mwingine.