Nyumba iliyochomwa na FFU Mtwara

Nyumba iliyochomwa na FFU Mtwara

Dingswayo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
4,019
Reaction score
2,930
Hii nimeitoa IPPMEDIA:

A woman shows her house alleged to be burnt by Field Force police during the operation to calm the situation erupted after anti-gas transportation from Mtwara to Dar es Salaam clashed by riot police on Wednesday at Magomeni in Mtwara region. Situation in Mtwara is calm but remains tense.

Woman-May25-2013.jpg
 
Jeshi la polisi limeasi, IGP na Kikwete hili halitambui na hatathimini athari za haya hapo baadaye wewe uliona wapi polisi anaua mtu anachukua fuvu lake kwenda kumbambikiza mwananchi kesi ,DPP na yeye kuinia kwenye kumbambikia viongozi wa upinzani ugaidi,magari ya jeshi kusidinkiza wezi wa meno ya tembo bangi na vitu kama hivyo jeshi la polisi linapaswa kuvunjwa
 
Wananchi wakichoma nyumba, mahakama, magari, ofisi na kuharibu miundombinu mnashangilia tena kuhamasisha juu kuwa waendelee kuchoma. Ila ikisemwa polisi wamechoma mnawaandama polisi na kuwalaani kwa nguvu zote kana kwamba wakati nyumba inachomwa mlikuwa mnashuhudia na kuhakikisha kuwa kweli aliyechoma ni polisi.
 
Twiga kukunjwa na kupakiwa kwenye ndege.
Kama yule mtangazaji wa TBC atafidiwa, na hii familia lazma ifidiwe.
 
Miaka michache tu baada ya uhuru, mwaka 1964, Mwalimu Nyerere aliyekuwa Rais wa Tanzania, aliamua kulivunja kabisa jeshi baada ya kutokea uasi na kuliunda upya jeshi letu na kuliita Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ). Hii ilitokana na kuonekana ya kuwa jeshi lililokuwepo lisingeweza tena kuendelea kuwepo.

Hivi huyu jk anasubiri nini kulivunja Jeshi la Polisi na kuliunda upya kabisa? Jeshi la Polisi limejaa kashfa katika ngazi zote! Kila kukicha linakuja jipya, kuanzia ngazi ya viongozi wa Polisi wa Taifa mpaka vituoni. Akiitwa dhaifu wanamagamba wanapagawa na kutoa mapovu kwa hasira. Shame on them all!
 
Ya wezekana uchomaji wa nyumba na kuharibu madaraja na uharibifu mwingine unanafanywa na serikali kupata hoja ya kuwalaumu wananchi
Hii nimeitoa IPPMEDIA:

A woman shows her house alleged to be burnt by Field Force police during
the operation to calm the situation erupted after anti-gas
transportation from Mtwara to Dar es Salaam clashed by riot police on
Wednesday at Magomeni in Mtwara region. Situation in Mtwara is calm but
remains tense.

View attachment 95077
 
Polisisiem wamegeuka watoa roho za raia wasiokuwa na hatia....inatisha sana huku mashemeji wakigongeana mvinyo kwenye viyoyozi!!!
 
Jeshi la Police siyo kuwa ni baya ki -Vile bali Imetokea ktk utawala huu wa sasa Wamekuwa Wakizidiwa na Majukumu yao yasiyo rasmi. Majukumu ya Police yasiyo rasmi ni kwamba, Jeshi limegeuka na Kutumika Kisiasa. Jeshi la police kwa sasa haliwezi Kutenganishwa na Chama Cha Mapinduzi ( Imekuwa ni sehemu ya jumuia zake kama ilivyo Jumuia ya Vijana wa CCM). Jeshi la police limegauka kwa Miaka ya karibuni na kutumia Kiganja Cha Chuma Kusaidia Watawala pale ambapo Kuwajibika Umegota. Police Wetu Wamekubali Jukumu hili japo hata wenyewe Wanakiri Kwamba kwa sasa kazi yao Imepanuka zaidi. Badala ya Job enrichment Police wetu Wameambulia Job Enlagerment huku Mafao yao halali yakibakia pale Pale.
 
Wananchi wakichoma nyumba, mahakama, magari, ofisi na kuharibu miundombinu mnashangilia tena kuhamasisha juu kuwa waendelee kuchoma. Ila ikisemwa polisi wamechoma mnawaandama polisi na kuwalaani kwa nguvu zote kana kwamba wakati nyumba inachomwa mlikuwa mnashuhudia na kuhakikisha kuwa kweli aliyechoma ni polisi.

Akili za kimasaburi hizi.
 
Jeshi la polisi limeasi, IGP na Kikwete hili halitambui na hatathimini athari za haya hapo baadaye wewe uliona wapi polisi anaua mtu anachukua fuvu lake kwenda kumbambikiza mwananchi kesi ,DPP na yeye kuinia kwenye kumbambikia viongozi wa upinzani ugaidi,magari ya jeshi kusidinkiza wezi wa meno ya tembo bangi na vitu kama hivyo jeshi la polisi linapaswa kuvunjwa

Nchi iko kwenye hali ya HATARI sema jamaa wanakomaa tu hivyo hivyo.jeshi lishaasi kitambo. jeshi Gani la kulinda usalama wa Raia na mali zao linaendekeza kupiga risasi hata wajawazito.
 
SERIKALI INAPOCHOMA NYUMBA ZA RAIA WAKE, KUBAKA WAKE KWA MABINTI, KUCHINJA VIJANA KWA WAJAWAZITO LINDI NA MTWARA SHAURI YA MAONI YAO WANANCHI SASA TUKIMBILIE WAPI

Jamani watazameni masiki wenzangu na mimi hawa kosa lao tu ni kule KUDIRIKI KUTOA MAONI YAO na sasa nyumba tu ya udongo unalazimika kuwatoka jumla hivi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Sasa WaTanzania tunatarajia matokeo ya aina gani kwa hicho kitoto hapo pichani anayelazimika kulala kwenye baridi porini kwa kuwa tu CCM na Rais Kikwete wachoma nyumba yao,

Je, tunatarajia kitu gani tukija kukutana na yule binti pale akijiuza Mtaa wa Ohio Dar usiku kwa kuwa tu serikali yake imevuruga kabisa misingi ya pato la familia?

Je, WaTanzania tunalo jibu gani endapo huyo mama hapo juu atakaposhindwa maisha kijijini kwa kuwa tu maoni yao tu kwa mradi wa gesi utakua umemfanya mumewe atolewe roho na Nchimbi na kisha akajichagulia kuja jijiji kujaribu bahati yake katika Umachinga wa Mama Nitilie pembeni mwa barara pale Ilala Boma????????

25th May 2013 12:25 Woman-May25-2013.jpg

Hii nimeitoa IPPMEDIA:

A woman shows her house alleged to be burnt by Field Force police during the operation to calm the situation erupted after anti-gas transportation from Mtwara to Dar es Salaam clashed by riot police on Wednesday at Magomeni in Mtwara region. Situation in Mtwara is calm but remains tense.

View attachment 95077
 
Hii ni hatari sana kwa nchi yetu,police wanachoma nyumba ya raia kulipa kisasi,yana mwisho lakin
 
Watu wa Mtwara wanaishi kwenye nyumba za udongo kwa miaka nenda miaka rudi halafu Kikwete anawaletea ngonjera nani atakubali
 
Wananchi wakichoma nyumba, mahakama, magari, ofisi na kuharibu miundombinu mnashangilia tena kuhamasisha juu kuwa waendelee kuchoma. Ila ikisemwa polisi wamechoma mnawaandama polisi na kuwalaani kwa nguvu zote kana kwamba wakati nyumba inachomwa mlikuwa mnashuhudia na kuhakikisha kuwa kweli aliyechoma ni polisi.
Umeambiwa aliyewataja polisi ni mwenye kuchomewa nyumba au humuoni kakaa na watoto wake hapo nje au unataka habari hizo zitoke kwa dpp? ni polisi gani hasa unaowatetea hao wakikukamata na vijipesa wanakupeleka mabwepande kukupiga risasi? uwe na aibu bwana wameua mama mjamzito kwa risasi wanasema mpaka risasi ionekana ndio chanzo cha kifo kijulikane sasa hao madaktari walienda shule kusomea nini na kwanini wao ndio wanaandika hati ya kifo na sio polisi. Haikosi baada ya siku si nyingi polisi ndio watakaa mahospitalini kutoa matamko ya vifo hasa baada ya kuiona risasi au panga lililokata mtu
 
Mie nahisi ni dalili njema za ukombozi ambazo hata baadhi ya watendaji wa vyombo vya ulinzi na usalama wanaamua kukubaliana na mabadiliko hayo lakini ktk njia ambayo siyo rahisi wananchi na mtu mwingine kuamini kuwa kinachohitajika ni mabadiliko na wanatumia njia hii kutokana na sheria na taratibu zao za kazi(ngoja niwe wazi wanabaka,wanaua,wanachoma na kufanya kila aina ya uonevu ili wananchi wakasirike na wafanye maamuzi sahihi juu ya utawala mbovu uliopo)nani asiyejua matatizo waliyo nayo maaskali wetu?,wanalala ktk magofu,mishahala mibovu na wanafanya kazi ktk mazingira magumu kwani wao siyo watanzania hakuna ndugu zao wanaodhurika?ni swala la wakati tu ukifika tutaujua ukweli.:embarassed2:NI MTIZAMO WANGU
A%20S%20kiss.gif
 
Swali lenye thamani ya zaidi ya dola milioni moja kwa kila mmoja kwa nafasi yake katika taifa le ni:

Je pindi unaposikia ya kwamba serikali inayosadikiwa kuwekwa madarakani kwa manufaa ya wapiga kura inapogeuka adui na kuchoma nyumba za raia wake, kubaka wake kwa mabinti, kuchinja vijana kwa wajawazito kwa mizinga ya kijeshi lindi na mtwara shauri tu ya kutoa maoni yao, wananchi sasa tukimbilie wapi???????????
 
Back
Top Bottom