Nyumba hii imenivutia sana kwa kweli.....!

Nyumba ya jirani yangu hiyo, kwa upande wa kushoto ukiangalia utaiona nyumba ya kigae cha blue, hapo ndo kwangu...
 
Hizi nyumba nyingine kuitana kula lazima mtumie extensions za simu.....
 
DSC_0550.JPG
Nzuri sana
 
Aisee yaan nikiwa na nyumba kama hii nna guarantee ya kupiga #selfie kumi kumi kila siku mwaka mzima bila sehemu kujirudia, ni mwendo wa hashtags tu...!!!
 
Back
Top Bottom