Donatila
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,563
- 21,665
Nyumba miamoja na mbili wanazoishi wakazi zaidi ya miasita katika kijiji cha Sasajila wilayani manyoni, zimeanguka kufuatia mvua yenye upepo iliyonyesha kwa dakika thelathini na kusababisha wananchi hao kukosa makazi.
Pia mvua hiyo imeharibu ekari miamoja tisini na saba za mazao ya chakula na biashara.