Nyuma ya pazia ya Operesheni Tokomeza

Nyuma ya pazia ya Operesheni Tokomeza

tpaul

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2008
Posts
26,021
Reaction score
25,423
Kuna mambo mengi msiyoyajua kuhusu operesheni tokomeza. Leo nimekuwa nikiongea na kaka yangu, ambaye ni mmoja wa wanajeshi walioshiriki operesheni tokomeza, amenifumbua macho sana kuhusu unyama uliofanywa na wanajeshi kwa raia na mali zao, hasa mifugo. Kuna uovu mwingi na wa kutisha walioutenda ambao haujaripotiwa wala kuwewwa wazi na tume ya Lembeli kwa sababu ambazo hazijulikani kwa mtu yeyote mpaka sasa.

In fact, what has been revealed by Lembeli's inquiry commision is just a very small fraction of the tip of an iceberg. Ndugu zangu, maovu yaliyotendwa na wanajeshi hayasimuliki. Ngoja tusubiri tuone kama tume itakayoundwa kufanya uchunguzi wa kina itakuja na majawabu mapya kuhusu uovu wote uliotendeka. Endapo tume hiyo haitataja haya maovu niliyosimuliwa na mwanajeshi, nipo radhi kuvua nguo zangu zote na kutembea uchi mitaani. Ni bora kuwa chizi ili nisiendelee kuyaona haya maovu wanayotendewa raia wasiokuwa na hatia.
 
Heri utoe hizo siri mwenyewe kuliko kusubili serikali ya jk ambayo haitafanya hivyo nawe kuwa chizi au kuvua nguo kamsa ulivyosema.
 
Yale unayo yatuhumu ndo hayo hayo unayoyafanya..
Kichwa cha habari kinasomeka tofauti na uliyosema.
 
Acha kudanganya watu huna siri yoyote,Mh,LEMBELI amepigwa changa la macho na ushahidi fake wa kutengenezwa ili biashara ya ujangili iendelee.
 
Kuna mambo mengi msiyoyajua kuhusu operesheni tokomeza. Leo nimekuwa nikiongea na kaka yangu, ambaye ni mmoja wa wanajeshi walioshiriki operesheni tokomeza, amenifumbua macho sana kuhusu unyama uliofanywa na wanajeshi kwa raia na mali zao, hasa mifugo. Kuna uovu mwingi na wa kutisha walioutenda ambao haujaripotiwa wala kuwewwa wazi na tume ya Lembeli kwa sababu ambazo hazijulikani kwa mtu yeyote mpaka sasa.

In fact, what has been revealed by Lembeli's inquiry commision is just a very small fraction of the tip of an iceberg. Ndugu zangu, maovu yaliyotendwa na wanajeshi hayasimuliki. Ngoja tusubiri tuone kama tume itakayoundwa kufanya uchunguzi wa kina itakuja na majawabu mapya kuhusu uovu wote uliotendeka. Endapo tume hiyo haitataja haya maovu niliyosimuliwa na mwanajeshi, nipo radhi kuvua nguo zangu zote na kutembea uchi mitaani. Ni bora kuwa chizi ili nisiendelee kuyaona haya maovu wanayotendewa raia wasiokuwa na hatia.
Majungu tu akili za bavicha bwana. Unatuletea mipasho badala ya kuelezwa ulichoelezwa na huyo mbwiga mwezio.
 
Kwataarifa yako kamati ya Lembeli hakuna chochote walichokifanya zaidi ya kufuata upepo wa jazba za wabunge ambao wengi wao ni mandume ya kuwili huku huku yanatetea ujangili huku yanapinga ujangili.
 
Wewe ni dhaifu kuliko dhaifu original kwani hata uloambiwa unashindwa kuliweka wazi. Sasa umeanzisha thread yanini?
Jamii ielimikeje kama unaficha ukweli?
Utakataaje kuitwa fisadi wa kuficha ukweli?
Huna maana ndani ya JF.
 
Hivi leo hii uende umfuate jangili umuhoji unaionaje operation Tokomeza unadhani atakujibu nini?
Na ndicho walichokifanya kamati ya Lembeli kuhoji majangili au ndugu wa majangili
 
Kuna mambo mengi msiyoyajua kuhusu operesheni tokomeza. Leo nimekuwa nikiongea na kaka yangu, ambaye ni mmoja wa wanajeshi walioshiriki operesheni tokomeza, amenifumbua macho sana kuhusu unyama uliofanywa na wanajeshi kwa raia na mali zao, hasa mifugo. Kuna uovu mwingi na wa kutisha walioutenda ambao haujaripotiwa wala kuwewwa wazi na tume ya Lembeli kwa sababu ambazo hazijulikani kwa mtu yeyote mpaka sasa.

In fact, what has been revealed by Lembeli's inquiry commision is just a very small fraction of the tip of an iceberg. Ndugu zangu, maovu yaliyotendwa na wanajeshi hayasimuliki. Ngoja tusubiri tuone kama tume itakayoundwa kufanya uchunguzi wa kina itakuja na majawabu mapya kuhusu uovu wote uliotendeka. Endapo tume hiyo haitataja haya maovu niliyosimuliwa na mwanajeshi, nipo radhi kuvua nguo zangu zote na kutembea uchi mitaani. Ni bora kuwa chizi ili nisiendelee kuyaona haya maovu wanayotendewa raia wasiokuwa na hatia.
?????????????????????????????/
 
Acha kudanganya watu huna siri yoyote,Mh,LEMBELI amepigwa changa la macho na ushahidi fake wa kutengenezwa ili biashara ya ujangili iendelee.

Sometime Ubishi hauna maana mim nimeona kwa macho yangu wasukuma wame kamata mifugo yao nawao wanateswa vibaya wanaminywa korodani watoe hela,wananyimwa chakula wamefungiwa ndani ya gari kwa mda mrefu,,kutana na simba sio gemu,askari pori hawafai hawa wadudu hatakidogo,
 
maneno ya mwisho ndio ukweli. maneno ya juu yote inaonyesha namna akili zinavyoanza kufyatuka
 
tpaul mbona na wewe sasa hauna tofauti na hiyo tume ya Mh. Lembelli!
tumwagie hapa jamvini kwanini usubiri kuwa chizi???:A S 13:

mkuu, naogopa nikimwaga mtama jamvini naweza kujikuta napigiwa ban bure kwa kuwa maovu yaliyotendwa na hawa wanajeshi hayaelezeki na wala hayasimuliki. mimi nasubiri tume mpya itakayoundwa nione majawabu itakayokuja nayo kisha nami nitaunganisha kuanzia pale tume itakapokuwa imeishia.
 
Last edited by a moderator:
mkuu, naogopa nikimwaga mtama jamvini naweza kujikuta napigiwa ban bure kwa kuwa maovu yaliyotendwa na hawa wanajeshi hayaelezeki na wala hayasimuliki. Mimi nasubiri tume mpya itakayoundwa nione majawabu itakayokuja nayo kisha nami nitaunganisha kuanzia pale tume itakapokuwa imeishia.
wewe na lembeli majangili... Mnataka u-waziri kwa kuwahujumu mawaziri wenzenu....
 
Kuna mambo mengi msiyoyajua kuhusu operesheni tokomeza. Leo nimekuwa nikiongea na kaka yangu, ambaye ni mmoja wa wanajeshi walioshiriki operesheni tokomeza, amenifumbua macho sana kuhusu unyama uliofanywa na wanajeshi kwa raia na mali zao, hasa mifugo. Kuna uovu mwingi na wa kutisha walioutenda ambao haujaripotiwa wala kuwewwa wazi na tume ya Lembeli kwa sababu ambazo hazijulikani kwa mtu yeyote mpaka sasa.

In fact, what has been revealed by Lembeli's inquiry commision is just a very small fraction of the tip of an iceberg. Ndugu zangu, maovu yaliyotendwa na wanajeshi hayasimuliki. Ngoja tusubiri tuone kama tume itakayoundwa kufanya uchunguzi wa kina itakuja na majawabu mapya kuhusu uovu wote uliotendeka. Endapo tume hiyo haitataja haya maovu niliyosimuliwa na mwanajeshi, nipo radhi kuvua nguo zangu zote na kutembea uchi mitaani. Ni bora kuwa chizi ili nisiendelee kuyaona haya maovu wanayotendewa raia wasiokuwa na hatia.

Uzalendo hauuzwi kokote. Usiamini kila unachoambiwa kuwa na utamaduni wa kuangalia pande zote kisha toa hukumu. Watu kama nyinyi hamuhitajiki kabisa Tanzania. Unakata tamaa tena unaona bora uwe chizi kwa issue za kusimuliwa ur so pathetic. Hamia kenya basi kwenye ugomvi na leo meru wameandamana au hamia kigali kwa kagame aliyetangaza kuua kila aliyeisaliti rwanda. Jeshi ni jeshi na linapaswa kuthaminiwa na kuheshimiwa. Leo hii unakaa unapost JF kwa amani hayo yote ni matunda yaliyoletwa na jeshi letu. Usiache maneno ya kuambiwa kama hayo yakutoe uzalendo wako. Heshim nchi yako jisikie fahari kuwa mtanganyika.
 
kaka yako hajakuambia kiliachwa na akina lembeli,kamati ilishamaliza kazi wewe tupe ulichoambiwa au uanze usiku kuu kuanika nyeti zako

Back
Top Bottom