Nyuma ya pazia kujitoa kwa upinzani

Dalali Bunju

Member
Feb 10, 2014
44
65
Miaka yote Wapinzani wamekuwa wanasubilia Mitafaruku ya Ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) baada ya kura za Maoni, ili waweze kuwashawishi wale walio enguliwa kwa sababu mbalimbali ili wagombee kupitia Vyama vyao vya Upinzani,

Kitu ambacho wamekikosa hawamu hii kwa Asilimia kubwa, kitu kilichopelekea kujikuta wanakosa wagombee wa kuwasimamisha wenye USHAWISHI kwa jamii husika, Hivyo njia pekee iliyo baki ni kuwahadaa walimwengu kwa kutangaza kujitoa katika kinyang'anyiro cha Chaguzi za Selikali YA Mtaa kwenye vyombo vya habari, Bila kufuata na kukamilisha Taratibu za kujitoa ikiwa ni Pamoja na kuandika barua rasmi kwa mamlaka husika
Ccm mpinzani.jpg
 
View attachment 1263616
Pumbavyu takataka
 
Never argue with a fool because people might not notice the different between you two
 
Kumbe kuna sababu nyingi nyuma ya pazia !
Hakika hawa jamaa wanacho kifanya kinaaitwa " Defensive mechanism ", ili kujihami na lolote litakalo tokea,
Hapa namaanisha kwa kuwa hawajajitoa japo wamehadaha watanzania kujito kupitia Vyombo vya habari, kwa mantiki hawajawasilisha barua rasmi Tamisemi ya kujitoa,
Wanacho fanya ni kusubilia matokeo ili wapate la kusema...,
Wengi wa wana CCM Walio tolewa kula za Maoni hawakuwa tayari kuhamia upande wa pili zake ya kupambana ndani ya CHAMA
 
Back
Top Bottom