Nyuki wema, nyuki wabaya!

Mimi ninachotaka, ni kujua tu namna ya kuwatuma waende mahali flani hivi wakachimbe bit na kusepa basi!!
Hebu nipe somo...
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji848][emoji848][emoji119][emoji119][emoji30][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji848][emoji848][emoji119][emoji119][emoji30][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mkuu nipe maujanja, serious kama unafahama!
Sitaki kuwatumia kudhuru, just mkwara tu...
 
meditation nenda ghana
 
Tatizo nyuki wa Dizaini hiyo ambao wanatengenezwa na kina mkuu Mshana
na Likudi wanaweza kufufukia tumboni, wakaligeuza tumbo kuwa Mzinga ingawa
unaweza kupata faida ya kutoa haja kubwa ya masega na kukojoa asali
[emoji23]
 
Usiwafukuze waache... Wanga hawawezi kamwe kusogea hapo
Mkuu,, nipo kwenye Uzi wako huu nadonoa vitu baada ya kunisogeza Huku.
Kwahyo hawa naweza kuwaaacha Hadi watoke wenyewe.. maana me sielewi kabisa haya mambo ya nguvu za kiroho sijui za giza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…