Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,695
- 830,696
- Thread starter
- #121
Waache wataondokaMkuu,, nipo kwenye Uzi wako huu nadonoa vitu baada ya kunisogeza Huku.
Kwahyo hawa naweza kuwaaacha Hadi watoke wenyewe.. maana me sielewi kabisa haya mambo ya nguvu za kiroho sijui za giza
Sent using Jamii Forums mobile app


