- Thread starter
- #21
Baada kuiweka topic hii na wachangiaji kutokamnje ya topic leo magazeti karibu yote yameripoti hii habari hivyo wana jf mlipaswa kunipongeza
ilikuwa ni kituko cha ainayake maana toka hawali marehemu alikuwa kalazwa hosptal ya st elizabet hapa arusha huku shemegizake maarufu hapa tanzani BABU SAMBEKE wakiwa hawana habarinae huku mgonjwa akilalamika kukosa hela ya matibabu
mgojwa huyo agines malya marazote alikuwa akilalamika kwamba siku akifa apelekwe kwa baba yake au asikwe manispaa
mgojwa huyo alisema kama watampeka kumzika kwa mume wake basi angewaibisha
pia mgonjwa huyo alipiga marufuku mazishi yakifahari akidai kama kwenye mazishi yake kutakuwa na vyakula vinywaji bazi atawaibisha
mazishi ya marehemu agenes malya yamefuta hisia ya wengi hapa arusha kulingana na umarufu wake enzi za uhai wake
taharuki hiyo niliishudia kwamacho yangu wakati paroko wa parokia ya mkombole fr mapendano akiwa anabariki vinywaji/vyakula ndipo nyuki walianza kumn'gata padr pua yake nakulazimika kuacha waombolezaji nakukimbilia ndani
nyuki hao pia walimn'gata mama mkwe wa marehemu (mama sambeke)nakulazimika kuvua nguozote hadharani
nyiki hao walianza kutawanyika sehemu mbalimbali nakufanya waombolezaji wakiwemo viongozi wa serikali kuchanganyikiwa
ilikuwa ni shoo ya ainayake
mpaka sasa baadhi ya watu bado wamelazwa katka hospital ya kibosho,
haya sasa wakozoaji kazi kwenu.