Nyota zenu

GAZETI

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
5,277
6,673
MIZANI – SEPT 23 – OCT22
Siku ya leo unatakiwa kuwa makini sana na vichochoro unavyopita
Kwani kuna hatari ya kukutana na watu wanaokudai wakiwa
Wameongozana. Kuepuka hatari hiyo unatakiwa kutembea barabara
Kubwa kwani wamekuwinda huko wamekukosa. Kama uko kijijini pendelea
Kupita vichakani.

NGE – 0CT 24- NOV 21
Tabia yako ya kupenda kupiga chabo inaelekea kukutokea puani kwani
Kuna uwezekano mkubwa leo ukakutwa live. Katika fedheha hiyo pia
Atakuwepo na yule binti uliyemtolea barua ya posa. Hatakukataa isipokuwa
Nyota zinaonyesha kuwa uchumba utavunjika kwani wewe ndiye utakayehama
Mji. Kwa wanawake wenye nyota hii ni hatari vilevile kwani ile tabia ya kutoka
Nje ya ndoa leo itabainika.

MSHALE – NOV 22 DEC – 21
Leo ni siku nzuri kwako kwani yule dada anayekuchukulia mumeo kapata
Uhamisho. Huo utakuwa mwanzo nzuri wa ratiba ya mumeo kubadilika
Kwani sasa atakuwa anashinda zaidi nyumbani mara atokapo ofisini.

MBUZI- DEC 22 - Jan 19
Tatizo lako la kuwashwa sehemu za siri linatokana na tabia yako ya uvivu
Wa kufua nguo za ndani. Ili kuepuka tatizo hilo unaweza kuamua kuachana
Kabisa na uvaaji wa chupi. Kuhusu mapenzi bado mambo yataenda vizuri
Kwani mpenzi wako amekufa ameoza licha ya harufu mbaya inayotolewa
Na nguo zako za ndani.

NDOO – JAN 20 – FEB – FEB 18
Anza mkakati wa kutafuta mpenzi mwingine kwani huyo uliye naye anakuongopea
Na kukupotezea muda. Pole sana.

SAMAKI – FEB 19 – MARC – 20
Tabia ya mke wa bosi wako kukukonyeza itaendelea. Kama unamtaka mchukue tu
Hautafukuzwa kazi kwani bosi wako atakufa siku si nyingi kutokana na kuzembea
Utumiaji wa dawa za ARV na kuendekeza gongo. Mchukue kwani hata yeye atakufa
Siku si nyingi na wewe utakuwa mrithi wa mali zake. Kwa wanawake Nyota zinaonyesha
Kuwa watapata bahati kubwa sana kama watavaa nguo za chama chochote cha siasa.

KONDOO – MARC – 21 – APRIL- 19
Leo si siku nzuri sana kwako. Kwani ule umbeya uliouzusha lazima ukutokee
Puani. Hivyo leo ndio siku yako ya kusutwa. Tembelea ndugu na usirudi mapema
Fanya hivyo kwa muda wa siku saba soo litakwisha.

NG'OMBE – APRIL – 20 – MEI- 21
Tabia yako ya kutongoza hovyo leo utamtongoza mama mkwe wako.
Leo usitongoze la sivyo utaumbuka.

MAPACHA – MEI 22 – JUNE 20
Leo ni siku ya bahati kwako. Hivyo bahati nasibu yoyote utakayocheza
Utashinda. Hongera.

KAA – JUNE21 – JULY – 22
Huyo mwanamke unayemfuatilia ni mke wa mpemba na kama utaendelea
Kuna hatari ya kupoteza nyeti zako. Zitayeyuka na sehemu ya nyeti itakuwa
Na jipu. Tahadhari kwani vitumbua utaviona kwenye beseni tu hutakula.

SIMBA - JULY 23 – AGOST 22
Usisikilize sana maoni kutoka Jamii Forum, unatakiwa kuichunguza simu
Ya mkeo mara kwa mara kwani majina ya wapenzi wake kasevu ya kike
Ukiona mama fulani…. Usiamini mia kwa mia. Pendelea kuamka usiku wa
Mananenenda chooni na simu ya mkeo kisha ujifungie na uchunguze meseji
Zote kwa utulivu.

MASHUKE – AGOST 23 – SEPT 22
Siku ya leo usile pilipili kwani utashikwa na tumbo la kuhara hivyo kama
Unataka kula pilipili hakikisha unaweka feni chooni ili ikupepee makalioni
Kutokana na fukuto kali litakalosababishwa na pilipili na kama huna fena andaa
Barafu ambayo utaikalia mara baada ya kujisaidia.

ILI KUTATULIWA MATATIZO YAKO NITATOA NAMBA ZA SIMU
MWEZI UJAO.
 
MASHUKE – AGOST 23 – SEPT 22
Siku ya leo usile pilipili kwani utashikwa na tumbo la kuhara hivyo kama
Unataka kula pilipili hakikisha unaweka feni chooni ili ikupepee makalioni
Kutokana na fukuto kali litakalosababishwa na pilipili na kama huna fena andaa
Barafu ambayo utaikalia mara baada ya kujisaidia.

Duh! Una balaa mkubwa!
 
MSHALE – NOV 22 DEC – 21
Leo ni siku nzuri kwako kwani yule dada anayekuchukulia mumeo kapata

Uhamisho. Huo utakuwa mwanzo nzuri wa ratiba ya mumeo kubadilika
Kwani sasa atakuwa anashinda zaidi nyumbani mara atokapo ofisini.

hilo nalo ni neno mkuu.
 
SIMBA - JULY 23 – AGOST 22
Usisikilize sana maoni kutoka Jamii Forum, unatakiwa kuichunguza simu
Ya mkeo mara kwa mara kwani majina ya wapenzi wake kasevu ya kike
Ukiona mama fulani…. Usiamini mia kwa mia. Pendelea kuamka usiku wa
Mananenenda chooni na simu ya mkeo kisha ujifungie na uchunguze meseji
Zote kwa utulivu.

Mkuu hii imekaaje mbona hata sijaolewa,alafu jf ndio furaha yangu hapa boss katoka na kazi zake nimeminimaizi niko jf,nigeonaje hii sred yako?
Kapige ramli upya kwa upande wangu umekosea lol!

Nyota imemzungumzia mwanaume tu kwa mwanamke leo kuna
ukungu mambo yao yatakuwa kama siku iliyopita hakuna mabadiliko!
 
mshale – nov 22 dec – 21
leo ni siku nzuri kwako kwani yule dada anayekuchukulia mumeo kapata

uhamisho. Huo utakuwa mwanzo nzuri wa ratiba ya mumeo kubadilika
kwani sasa atakuwa anashinda zaidi nyumbani mara atokapo ofisini.

hilo nalo ni neno mkuu.
makubwa mamamdogo
 
MSHALE – NOV 22 DEC – 21
Leo ni siku nzuri kwako kwani yule dada anayekuchukulia mumeo kapata

Uhamisho. Huo utakuwa mwanzo nzuri wa ratiba ya mumeo kubadilika
Kwani sasa atakuwa anashinda zaidi nyumbani mara atokapo ofisini.
hilo nalo ni neno mkuu.

mmh! mbona mimi na mwanaume?
 
SAMAKI – FEB 19 – MARC – 20
Tabia ya mke wa bosi wako kukukonyeza itaendelea. Kama unamtaka mchukue tu
Hautafukuzwa kazi kwani bosi wako atakufa siku si nyingi kutokana na kuzembea
Utumiaji wa dawa za ARV na kuendekeza gongo. Mchukue kwani hata yeye atakufa
Siku si nyingi na wewe utakuwa mrithi wa mali zake. Kwa wanawake Nyota zinaonyesha
Kuwa watapata bahati kubwa sana kama watavaa nguo za chama chochote cha siasa.
Hii balaaa sasa!!!
 
NDOO – JAN 20 – FEB – FEB 18
Anza mkakati wa kutafuta mpenzi mwingine kwani huyo uliye naye anakuongopea
Na kukupotezea muda. Pole sana.

baba una balaa wewe.......khaaa....
 
SAMAKI – FEB 19 – MARC – 20
Tabia ya mke wa bosi wako kukukonyeza itaendelea. Kama unamtaka mchukue tu

Hautafukuzwa kazi kwani bosi wako atakufa siku si nyingi kutokana na kuzembea
Utumiaji wa dawa za ARV na kuendekeza gongo. Mchukue kwani hata yeye atakufa
Siku si nyingi na wewe utakuwa mrithi wa mali zake. Kwa wanawake Nyota zinaonyesha
Kuwa watapata bahati kubwa sana kama watavaa nguo za chama chochote cha siasa.

Dah!!!

MBUZI- DEC 22 - Jan 19
Tatizo lako la kuwashwa sehemu za siri linatokana na tabia yako ya uvivu
Wa kufua nguo za ndani. Ili kuepuka tatizo hilo unaweza kuamua kuachana
Kabisa na uvaaji wa chupi. Kuhusu mapenzi bado mambo yataenda vizuri
Kwani mpenzi wako amekufa ameoza licha ya harufu mbaya inayotolewa
Na nguo zako za ndani.

dah mkuu! wanitisha... wacha ni log off
 
KONDOO – MARC – 21 – APRIL- 19Leo si siku nzuri sana kwako. Kwani ule umbeya uliouzusha lazima ukutokeePuani. Hivyo leo ndio siku yako ya kusutwa. Tembelea ndugu na usirudi mapemaFanya hivyo kwa muda wa siku saba soo litakwisha.THETHETHETHET!! JAMANI JF NAIPENDA !!!
 
MASHUKE – AGOST 23 – SEPT 22
Siku ya leo usile pilipili kwani utashikwa na tumbo la kuhara hivyo kama
Unataka kula pilipili hakikisha unaweka feni chooni ili ikupepee makalioni
Kutokana na fukuto kali litakalosababishwa na pilipili na kama huna fena andaa
Barafu ambayo utaikalia mara baada ya kujisaidia.

Duh! Hakuna kitu naihusudu kama pilipili hadi kwenye chai naiunga!
 
Back
Top Bottom