Volatility
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 3,920
- 7,469
Huyu ni mgonjwa mbishi.Si wanasema figo zimefikia hatua ya Luis Figo
Huyu Maselle mwenye damu ya shelembi. Watanzania wepesi sana kasahau. Maselle hana lolote anatafuta kiki. Kupublish huu mualiko binafsi kwenye public ni kutafuta kiki tu.
Kabisa bibieNamuona mgogo mshamba anavyobanwa na tumbo la kuhara kwa wivu
Mwaliko huu sio habari njema sana, kwa sababu Masele amealikwa kwa kofia yake ya nafasi yake Bunge la Afrika, lakini sasa amesimamishwa kusubiria hatua za kinidhamu, hivyo mialiko yote aliyoipata kabla inasimamishwa. Ubunge wa Bunge la Africa ni kufuatia Ubunge wake wa Bunge la Tanzania, ukiishasimamishwa Ubunge wa Tanzania, automatically, Ubunge wake kwa Bunge la pia unasimama, hivyo kuna uwezekano, sio nyota yake inazidi kungaa, inawezekana ndio inaanza kufifishwa.Masele
Sasa yeye hana intaneshno language tatizo hataweza kusalimia na kupongeza atabaki kuchekacheka,kiinglish muhimu bhana unakaa round table watu wanaongea masuala nyeti wewe mfupii unakula na kujamba jamba na makoti makuubwa na mmwanya wako kama mla ugoro nani atakupa mwaliko....Lugha si kigezo ndugu. Si wote wanaoalikwa ni wazungumzaji wa kingereza!!
unaroho mbaya kama ya mmeo ndugai dhaifuHuyu Maselle mwenye damu ya shelembi. Watanzania wepesi sana kasahau. Maselle hana lolote anatafuta kiki. Kupublish huu mualiko binafsi kwenye public ni kutafuta kiki tu.
Mimi sio bendera fuata upepo. Kwa vile Ndugai ni adui yenu basi kila adui wa Ndugai ni rafiki yenu. You must analyse the issues. Sio mnakuwa nyumbu.unaroho mbaya kama ya mmeo ndugai dhaifu
Sasa huyu utakuta mpaka ana masters degreeunaroho mbaya kama ya mmeo ndugai dhaifu
Ndugai hawajamualika?, roho inamuuma sana
Mtu mzima ataaibika sana...
Donge linakaribia kupasua koo...Ndugai hawajamualika?, roho inamuuma sana
Huyu Maselle mwenye damu ya shelembi. Watanzania wepesi sana kasahau. Maselle hana lolote anatafuta kiki. Kupublish huu mualiko binafsi kwenye public ni kutafuta kiki tu.
Mkuu Victoire hapo kwenye damu ya kamanda shelembi hebu weka nyama kidogo nikuelewe vizuri!Huyu Maselle mwenye damu ya shelembi. Watanzania wepesi sana kasahau. Maselle hana lolote anatafuta kiki. Kupublish huu mualiko binafsi kwenye public ni kutafuta kiki tu.
Kuna jamaa alisema anachoweza ni roho mbaya na broken english tuKwanza huyo ndugai lugha inapanda? Maana mihimili ya sasa hv ni muhimili mmoja tu wa mahakama ndo lugha inapanda
Jiwe amesoma hapo udsm anajua kiingereza???Unawezaje kupata degree kwenye vyuo vyetu bila ya kuongea lugha ya Malkia tuache utani
Uchaguzi 2010 alimshinda kamanda Shelembi eti kwa kura moja. In reality Shelembi ndo alishinda ule uchaguzi. Zikafanyika figisu Masele akatanganzwa mshindi. Shelembi akafungua kesi kupinga matokeo. Shelembi kipenzi chetu wana Shytown akafa kifo cha maajabu. Huyu Masele bwege tu hakuna la maana alilofanya pale shytown. Mimi nasubiri kusikia tuhuma anazotuhumiwa nazo. Acha wagombane CCM wote watajijua. N.B Sina chama. Kamanda Shelembi R.I.P.Mkuu Victoire hapo kwenye damu ya kamanda shelembi hebu weka nyama kidogo nikuelewe vizuri!