Nyota ya Steven Masele yazidi kuwaka mbele ya macho ya Ndugai, Nigeria yamtaka Masele ahudhurie kuapishwa kwa Buhari,Rais wa Nigeria!

Kwanza huyo ndugai lugha inapanda? Maana mihimili ya sasa hv ni muhimili mmoja tu wa mahakama ndo lugha inapanda
Great yeye hutamka "grit" badala ya gret ..
Ni kama tu vile Jiwe anavyoitamka Taxify...mwenzio anasema Taxifly😅😅
 
Ndiyo hayo mambo ya kidikteta Victoire ambayo Watanzania wengi tunayakataa na kuyapiga vita. Tabia za kutumia vyeo kuwakomoa wengine kwa namna moja au nyingine hata kama hawana kosa lolote lile bali tu walimkosoa mtu au kugoma kumsujudia basi itakula kwa muhusika.

Mie nataka sana Maselle aendelee kumdharau huyo kikaragosi Ndugai ila 2020 ajiandae kutafuta ajira kwenye private companies maana Bungeni hatatia tena mguu.
Si Ndugai,si Masele watajijua wote hawa huwa wanapitisha miswada ya kisenge.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Huyu Maselle mwenye damu ya shelembi. Watanzania wepesi sana kasahau. Maselle hana lolote anatafuta kiki. Kupublish huu mualiko binafsi kwenye public ni kutafuta kiki tu.
Umenikumbusha mbali sana ulivyo mtaja shelembi aisee alimsumbua sana maselle mpka halmashauri kuungua moto
 
Umenikumbusha mbali sana ulivyo mtaja shelembi aisee alimsumbua sana maselle mpka halmashauri kuungua moto
Watu tunasahau sana. Tunamwona Masele leo anaonewa. Tabia ya mtu ni ngozi huwa haibadiliki. Nguruwe atabaki kuwa nguruwe hata umpake lipstick. Who knows hizo tuhuma kwa Rais wa PAP ni Zengwe ili Masele awe Rais kabisa ?.Mtu kama hupo tayari kutoa uhai binadamu mwenzake anashindwa vipi kumwekea zengwe Rais wa PAP ?
 
Huyu Maselle mwenye damu ya shelembi. Watanzania wepesi sana kasahau. Maselle hana lolote anatafuta kiki. Kupublish huu mualiko binafsi kwenye public ni kutafuta kiki tu.
Yeye ni public figure na amealikwa ktk tukio la hadhara, hajaalikwa kama mtu binafsi amealikwa kwa cheo ama nyadhifa yake.

He's a public figure, an invitee in a public and distinguished function, why is it a sin for public to be informed??

Kuna tofauti, wewe ukialikwa kwenye kitchen party au kikao cha ukoo hapo itakuwa ushamba kuweka kadi ya mwaliko maana hiyo ni private function.

Hatuna interest na mambo binafsi ama maisha Masele...

Tuna interest na mambo yahusuyo nyadhifa yake.

Can't you see the ties?
 
Hivi jamani ni ajabu kwa makamu wa Rais wa Pap kualikwa kwenye kuapishwa Rais wa Nigeria? Hadi mseme ana nyota????
 
Hivi jamani ni ajabu kwa makamu wa Rais wa Pap kualikwa kwenye kuapishwa Rais wa Nigeria? Hadi mseme ana nyota????
Kwani kila aliyewahi kuwa makamu wa Rais PAP ama mtu mashuhuri alikuwa ana alikwa kwenye kuapishwa kwa Rais ili tuone ni jambo la kawaida na si la ajabu???
 
Kwani kila aliyewahi kuwa makamu wa Rais PAP ama mtu mashuhuri alikuwa ana alikwa kwenye kuapishwa kwa Rais ili tuone ni jambo la kawaida na si la ajabu???
Walikuwa wanaalikwa ila hawakutaka kupublish.
 
Walikuwa wanaalikwa ila hawakutaka kupublish.
Anayeamua kuwa muwazi kwenye jambo ambalo si dhambi kuweka wazi na anayekuwa msiri kwenye jambo hilo hilo nani anakosea ama wote wanakosea nn???

Since when transparency has become sin for a public leader???
 
LOooh, mimi ni kiingereza hicho ndicho kilichonitoa jasho.
Nigeria hii lugha ni kama ya kwao, lakini naona na wao hatupishani sana.

Hongera Mh. Stephen Massele kwa mwaliko.

Kuna kitu alicho nacho Ndungai,, hiizi tabia zake za hivi karibuni sio za kawaida; bila kujali ukweli kuwa hajawahi kuwa na sifa za uongozi tokea zamani.
 
Ndugai anaweza kumcharaza bakora Msaele amtengue kiuno ili ashindwe kuhudhuria huo mualiko.
 
A
Huyu Maselle mwenye damu ya shelembi. Watanzania wepesi sana kasahau. Maselle hana lolote anatafuta kiki. Kupublish huu mualiko binafsi kwenye public ni kutafuta kiki tu.
Acha uchonganishi,nyota inawaka,
 
Mwaliko huu sio habari njema sana, kwa sababu Masele amealikwa kwa kofia yake ya nafasi yake Bunge la Afrika, lakini sasa amesimamishwa kusubiria hatua za kinidhamu, hivyo mialiko yote aliyoipata kabla inasimamishwa. Ubunge wa Bunge la Africa ni kufuatia Ubunge wake wa Bunge la Tanzania, ukiishasimamishwa Ubunge wa Tanzania, automatically, Ubunge wake kwa Bunge la pia unasimama, hivyo kuna uwezekano, sio nyota yake inazidi kungaa, inawezekana ndio inaanza kufifishwa.

Mimi binafsi namkubali sana huyu jamaa, na nilishauri atamkwe kuwa ni shujaa wa taifa
P.
Ngalu,obhizaga ginehe? Ngw'inoyu wa mkaya bhayenga
 
Unawezaje kupata degree kwenye vyuo vyetu bila ya kuongea lugha ya Malkia tuache utani
Unaishi Tanzania ndugu, umewahi kufanya kazi na wenye degree za hapa ujionee wangapi wanaoweza kuongea hio lugha ya mabeberu?
 
Back
Top Bottom