Nyota ya Steven Masele yazidi kuwaka mbele ya macho ya Ndugai, Nigeria yamtaka Masele ahudhurie kuapishwa kwa Buhari,Rais wa Nigeria!

Mwaliko huu sio habari njema sana, kwa sababu Masele amealikwa kwa kofia yake ya nafasi yake Bunge la Afrika, lakini sasa amesimamishwa kusubiria hatua za kinidhamu, hivyo mialiko yote aliyoipata kabla inasimamishwa. Ubunge wa Bunge la Africa ni kufuatia Ubunge wake wa Bunge la Tanzania, ukiishasimamishwa Ubunge wa Tanzania, automatically, Ubunge wake kwa Bunge la pia unasimama, hivyo kuna uwezekano, sio nyota yake inazidi kungaa, inawezekana ndio inaanza kufifishwa.

Mimi binafsi namkubali sana huyu jamaa, na nilishauri atamkwe kuwa ni shujaa wa taifa
P.
 
Lugha si kigezo ndugu. Si wote wanaoalikwa ni wazungumzaji wa kingereza!!
Sasa yeye hana intaneshno language tatizo hataweza kusalimia na kupongeza atabaki kuchekacheka,kiinglish muhimu bhana unakaa round table watu wanaongea masuala nyeti wewe mfupii unakula na kujamba jamba na makoti makuubwa na mmwanya wako kama mla ugoro nani atakupa mwaliko....
 
Victoire I think it is a good idea to share with us what did he do to cause this BRUHAHA. He stated that he spoke with PM Majaliwa and was told to disregard any noise from puppet ndugai.

My question to you between Majaliwa and Puppet ndugai who has more power in our beloved country?

If Maselle was not truthful that he was given a go ahead by Majaliwa to remain where he is, then why Majaliwa is not saying anything to prove that Maselle was lying?



Huyu Maselle mwenye damu ya shelembi. Watanzania wepesi sana kasahau. Maselle hana lolote anatafuta kiki. Kupublish huu mualiko binafsi kwenye public ni kutafuta kiki tu.
 
Huyu Maselle mwenye damu ya shelembi. Watanzania wepesi sana kasahau. Maselle hana lolote anatafuta kiki. Kupublish huu mualiko binafsi kwenye public ni kutafuta kiki tu.
Mkuu Victoire hapo kwenye damu ya kamanda shelembi hebu weka nyama kidogo nikuelewe vizuri!
 
Mkuu Victoire hapo kwenye damu ya kamanda shelembi hebu weka nyama kidogo nikuelewe vizuri!
Uchaguzi 2010 alimshinda kamanda Shelembi eti kwa kura moja. In reality Shelembi ndo alishinda ule uchaguzi. Zikafanyika figisu Masele akatanganzwa mshindi. Shelembi akafungua kesi kupinga matokeo. Shelembi kipenzi chetu wana Shytown akafa kifo cha maajabu. Huyu Masele bwege tu hakuna la maana alilofanya pale shytown. Mimi nasubiri kusikia tuhuma anazotuhumiwa nazo. Acha wagombane CCM wote watajijua. N.B Sina chama. Kamanda Shelembi R.I.P.
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom