Nyota ya Steven Masele yazidi kuwaka mbele ya macho ya Ndugai, Nigeria yamtaka Masele ahudhurie kuapishwa kwa Buhari,Rais wa Nigeria!

Unawezaje kupata degree kwenye vyuo vyetu bila ya kuongea lugha ya Malkia tuache utani
Yaonekana wewe si mtanzania mzawa. Wazawa wote wanajua kuwa lugha ya malkia kwa ajili ya kupatia degree kila mtu anayo. Lakini ile ya kujieleza kwa ufasaha (fluency) ndiyo tatizo. And, mind u please, it's not that people don't know English. They do, but they do not have fluency.
 
Ila mbona kama ya tarehe 6may 2019 kipindi mualiko unafanyika si timbwili lilikua bado halijanza
Halafu kaalikwa kwa kua ni vice president PAP.
Ingekua na sound kama president asingealikwa halafu yeye ndiyo kaalikwa.
Ni sawa na mtu aseme nyota ya mkuu wa majeshi imeng'aa kwakua amealikwa kwenye sherehe ya kitaifa.
 
Ataruhusiwa hakuna ugomvi baina yao ukiachilia mbali CDM and its group kulivalia njuga suala hili ili kuwagombanisha
 
Jamaa alivyo na roho mbaya atamharibia Masele
Akimharibia Atakuwa Na Psychological Problems. Mwenyew Simfagilii Huyu Masele, personally, Japo Sina Grudge Yoyote Dhidi Take, Lakini Kwa Hili Amesimama Kidete! Amekataa Kuburzwa! Huyu Si Zwazwa!

Napenda Watu Wa Calibre Take, Kina Bashe!..

... "Kama Ni Ubunge, Acha Mnivue"! Na Nukuu...
 
kwa taarifa yako hawezi kwenda mpaka kwa kibali cha Mh. Spika
 
Huyu Maselle mwenye damu ya shelembi. Watanzania wepesi sana kasahau. Maselle hana lolote anatafuta kiki. Kupublish huu mualiko binafsi kwenye public ni kutafuta kiki tu.
Mwache Tu. Mimi Namsupport Ili Yule Mkuu Wake Wa Kazi Apate SHELI! Maana Duh, Anapata Tabu Sana.

Kijna Anafanya Vizuri Lakini Kwa Kusimamia Mambo Ya Msingi.
 
Watanzania Ni: Ndugai, Kibajaji, Piere Likwidi, nk. Wakenya Ni: Masele, Samata (Genk), Assad Musa, Membe, nk. Nchi imedata. Tusubiri wakenya warudi (wakikubalika)!!!
 
Back
Top Bottom