Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,111
- 34,940
Fuata Tarehe yako ya kuzaliwa ndio sahihi kulliko herufi ya jina lako sio sahihi.Mimi nimezaliwa tarehe 08/08 herufi ya mwanzo ya jina langu ni "A"
Nyota yangu ni ipi? Maana wengine huniambia ni Aries (punda) na wengine huniambia ni Leo (simba). Ila nyota zote nimejaribu kuzisoma tabia zake naona kama zinafanana/zinaingiliana ila kwa upande wangu binafsi nimeegemea/kulingana sana na Aries (punda)..
Na kwa mujibu wa tarehe yangu inaonyesha ni nyota ya simba, ila herufi ya kwanza ya jina langu inaonyesha ni punda sasa nashindwa kuelewa nyota yangu halisi ni ipi? Naomba msaada MziziMkavu , MshanaJr na wengineo naomba msaada wenu.
Mkuu tumezaliwa tarehe na mwezi sawa.Mimi nimezaliwa tarehe 08/08 herufi ya mwanzo ya jina langu ni "A"
Nyota yangu ni ipi? Maana wengine huniambia ni Aries (punda) na wengine huniambia ni Leo (simba). Ila nyota zote nimejaribu kuzisoma tabia zake naona kama zinafanana/zinaingiliana ila kwa upande wangu binafsi nimeegemea/kulingana sana na Aries (punda)..
Na kwa mujibu wa tarehe yangu inaonyesha ni nyota ya simba, ila herufi ya kwanza ya jina langu inaonyesha ni punda sasa nashindwa kuelewa nyota yangu halisi ni ipi? Naomba msaada MziziMkavu , MshanaJr na wengineo naomba msaada wenu.
Aquarius nyota yake ni nyota ya Upepo siku yake ni jumamosi Asubuhi Tabia ya nyota ya upepo ni tabia ya kiume hata kama ni Mwanamke una tabia ya kiume marafiki zako ni wanaume ndio wazuri kwako kama ni wewe ni Mwanamke. Una Spirit Pepo mwilini mwako ndio anaye kufanya upende kuwa peke yako na maaduwi zako wengi ni Wanawake wenziwako. Unapenda kusafiri safiri na kukaa mbali na wenzako wa kike hata ukiwa nyumbani katika familia unapenda uwe peke yako ndio tabia yako. Tafuta mtu apate kukutibia Mume atakaye kufaa ni Mwanamume mwenye nyota ya Simba ndie atakaye kufaa na kukuelewa tabia zako.MziziMkavu mkuu hapo kwenye cancer number 9 kama kuna kijikosa.
Aquarius tuko na matatizo gani? Yan najiona mie nina tatizo la kutopenda kuchanganyikana na watu, napenda kukaa mwenyewe tu na kama ni nyumbani basi nitulie na family mates sio mambo za majirani nk ( kama kuna zile shughuli za kkijamii za ulazima hapo naweza changamana nao otherwise naonaga tabu sana.
Nitibiwe nini?Aquarius nyota yake ni nyota ya Upepo siku yake ni jumamosi Asubuhi Tabia ya nyota ya upepo ni tabia ya kiume hata kama ni mwanamke una tabia ya kiume marafiki zako ni wanaume ndio wazuri kwako kam ni wewe ni mwanamke. Una Spirit pepo mwilini mwako ndio anaye kufanya upendekuwa pek yako na maaduwi zako wengi ni wanawake wenzi wako.Unapenda kusafiri safiri na kukaa mbali na wenzako wa kike hataukiwa nyumba ni katika familia unapendauwe peke yako ndio tabia yako. Tafuta mtu apate kukutibia Mume atakaye kufaa ni Mwanamume mwenye nyota ya simba ndie atakaye kufaa na kukuelewa tabia zako.
Mtu wa kukupa company mzuri uwe na rafiki wa kiume ndio atakaye kupa company vizuri sio lazima awe mpenzi wako japo awe rafiki yako wa kawaida, ukiwa una matatizo anakupa ushauri mzuri ndio utakuwa upo vizuri zaidi .kuliko kuwa na amrafikiw akike watakuw wngi wao ni maaduwi zako hawakutakii mema jihadhari nao. Na kuhusu kushughulikiwa dawa au maombi una pepo katika nyota yako ndio anaye kufanya wakati mwengine marafiki zake wakuchukie na kukuonea wivu au hata kukupiga vita .Kama hivi sasa hayaja kutokea baadae ninayo kwamabia utakuja kuyaona mbele ya maisha yako. Tafuta Sheikh au Mchungaji mzuri akufanyie maombi makubwa na umpe sadaka ya pesa ndio mambo yako yatakuwa mazuri.Nitibiwe nini?
Sina marafiki wa kiume
Sina tabia za kiume ( labda kupendelea mpira) maybe
Muda mwingi niko around na KE, after interaction kidogo ndiyo napenda tu kuwa alone. Simply ni kwamba I enjoy my own company.
Sijawahi kuwa na adui, yan wale ninaojua kabisa huyu tulikwazanaga na sasa tuko na kichuki flani hivi baina yetu. Labda wale wachukiao watu for no reason lakini mie nakuwa sijui kama rohoni kwako una chuki.
Mkuu utagunduaje km nyota imeibiwaMtu wa kukupa company mzuri uwe na rafiki wakiume ndio atakaye kupa company vizuri sio lazima awe mpenzi wako japo awe rafiki yako ukiwa una amtatizo anakupa ushauri mzuri ndio utakuwa upo vizuri zaidi .kuliko kuwa na amrafikiw akike watakuw wngi wao ni maaduwi zako hawakutakii mema jihadhari nao. Na kuhsu kushughulikiwa dawa au maombi una pepo katika nyota yako ndio anaye kufanya wakati mwengine marafiki zake wakuchukie na kukuonea wivu au hata kukupiga vita .Kama hivi sasa baadae ninayo kwmabia utakuja kuyaona mbele ya maisha yako. Tafuta sheikh au mchungaji mzuri akufanyie maombi makubwa na umpe sadaka ya pesa ndio mambo yako yatakuwa mazuri.
Hii nyota ya simba mimi ninayo hii huyu atakua wangu tuuuuAquarius nyota yake ni nyota ya Upepo siku yake ni jumamosi Asubuhi Tabia ya nyota ya upepo ni tabia ya kiume hata kama ni Mwanamke una tabia ya kiume marafiki zako ni wanaume ndio wazuri kwako kama ni wewe ni Mwanamke. Una Spirit Pepo mwilini mwako ndio anaye kufanya upende kuwa peke yako na maaduwi zako wengi ni Wanawake wenziwako. Unapenda kusafiri safiri na kukaa mbali na wenzako wa kike hata ukiwa nyumbani katika familia unapenda uwe peke yako ndio tabia yako. Tafuta mtu apate kukutibia Mume atakaye kufaa ni Mwanamume mwenye nyota ya Simba ndie atakaye kufaa na kukuelewa tabia zako.
Mkuu utagunduaje km nyota imeibiwa
Unayoyasemea me hayajikuta bado kiukweli. Maybe in the future huko uzeeni...Mtu wa kukupa company mzuri uwe na rafiki wa kiume ndio atakaye kupa company vizuri sio lazima awe mpenzi wako japo awe rafiki yako wa kawaida, ukiwa una matatizo anakupa ushauri mzuri ndio utakuwa upo vizuri zaidi .kuliko kuwa na amrafikiw akike watakuw wngi wao ni maaduwi zako hawakutakii mema jihadhari nao. Na kuhusu kushughulikiwa dawa au maombi una pepo katika nyota yako ndio anaye kufanya wakati mwengine marafiki zake wakuchukie na kukuonea wivu au hata kukupiga vita .Kama hivi sasa hayaja kutokea baadae ninayo kwamabia utakuja kuyaona mbele ya maisha yako. Tafuta Sheikh au Mchungaji mzuri akufanyie maombi makubwa na umpe sadaka ya pesa ndio mambo yako yatakuwa mazuri.
Kazi kwako Bibie sikulazimishi ukubali kila ninacho kwambia. Lakini kama ni bado mdogo utakuja kuyaona mbeleni. Watu wenye nyota kama yako ni watu waTabia ya Negative huwa hawapendi kuambiwa kitu moja kwa moja aka (Positive) hata kama una muambia kitu cha ukweli kubisha kwake ni lazima mpaka yamkute ndio ana amini ni watu wenye nyota kama yako ni watu wenye Tabia ya NEGATIVE SIO POSITIVE.Unayoyasemea me hayajikuta bado kiukweli. Maybe in the future huko uzeeni...
In short marafiki wa kike wananipenda, nilikopita shuleni, majirani nk ninawaona na baadhi wananiambia ila mimi tu ndiyo nina lifestyle ya kutopenda kujichanganya sana. Sometimes nikiamua I make friends easily afu ukishaanza kuniganda me naona usumbufu naanza kukukwepa. Tatizo langu ni ilo
Yan hapo ni umeenda OP kabisa, ukubali ukatae.Kazi kwako Bibie sikulazimishi ukubali kila ninacho kwambia. Lakini kama ni bado mdogo utakuja kuyaona mbeleni. Watu wenye nyota kama yako ni watu waTabia ya Negative huwa hawapendi kuambiwa kitu moja kwa moja aka (Positive) hata kama una muambia kitu cha ukweli kubisha kwake ni lazima mpaka yamkute ndio ana amini ni watu wenye nyota kama yako ni watu wenye Tabia ya NEGATIVE SIO POSITIVE.
Kazi kwako Ninakujuwa wewe from A to Z huna cha kunificha kwani tabia za nyota ninazijuwa zaidi ya miaka 40 sasa.Yan hapo ni umeenda OP kabisa, ukubali ukatae.
I'm in my middle 30's nishaona vingi chini ya jua...
Mkuu unaweza nifafanulia nyota ya mizanuKazi kwako Ninakujuwa wewe from A to Z huna cha kunificha kwani tabia za nyota ninazijuwa zaidi ya miaka 40 sasa.
Mkuu unaweza nifafanulia nyota ya mizanu
|