Nyota ya Punda na character zake

Mkuu MziziMkavu mi asili yangu maji naomba maelekezo niweze kuishi vyema na sweet wangu yeye ni moto please
 
MziziMkavu vipi wenye nyota ya mizani
 
Kwa uzoefu wangu itafute nyota yako kutoka kwa wahindu yaani joytish or vedic. hawa ni sahihi kabisa. wazungu wako mbele ya muda so utabiri wao unakuwa kama uongo. MWISHO; hata kama nyota yako ni supabu. kama akitokea mjanja akakuibia MWEZI/MOON umekwisha. kwani mwezi ni wa usiku na mambo yote huanza kizani. kwa hiyo mazuri yako yanahamia kwake. USIOMBE YAKUKUTE NIULOZE NIKUSIMULIE YALIISHA NIKUTA.
 
www.cafeaatrology.com. Pia bila uongo Aries ni MALAYA. na huwa poa viongozi ktk jamii. ila ktk kuoa oa mwenye nyota hizi . simba au mshale. si vibaya ukajioea taurians. ila huyo mwenzio lazima awe na rangi tofauti na ya kwako.
 
M
Mkuu [HASHTAG]#mzizimkavu[/HASHTAG] Mimi nimezaliwa mwezi 9 tarehe 11.
Tafadhali usichoke naomba na mimi nitumie nyota yangu
 
Mkuu vp combination ya simba na mshale ktk ndoa ?.
Naomba maelezo mkuu ntashukuru ukitiririka hapa.
 
Stream line karibu mkuu kwa uzi namba 69.
 
www.cafeaatrology.com. Pia bila uongo Aries ni MALAYA. na huwa poa viongozi ktk jamii. ila ktk kuoa oa mwenye nyota hizi . simba au mshale. si vibaya ukajioea taurians. ila huyo mwenzio lazima awe na rangi tofauti na ya kwako.

hahaaaaa duh napenda clarifications kuhusu nyota yangu na sibishi of course I am a player
 
Mimi mwenyewe nina nyota hii ni nzuri sana tunajiamini hatukati tamaa hatuogopi maisha ila ni rahisi mno kumchoka mpenzi mjinga asiyejielewa mf muoga ktk utafutaji au mkatisha tamaa weka mbali na Mimi, hatupatani na marafiki wasio na tija pia , hatupendi kufundishwa jinsi ya kuishi
 
Mimi nimezaliwa tarehe 08/08 herufi ya mwanzo ya jina langu ni "A"
Nyota yangu ni ipi? Maana wengine huniambia ni Aries (punda) na wengine huniambia ni Leo (simba). Ila nyota zote nimejaribu kuzisoma tabia zake naona kama zinafanana/zinaingiliana ila kwa upande wangu binafsi nimeegemea/kulingana sana na Aries (punda)..
Na kwa mujibu wa tarehe yangu inaonyesha ni nyota ya simba, ila herufi ya kwanza ya jina langu inaonyesha ni punda sasa nashindwa kuelewa nyota yangu halisi ni ipi? Naomba msaada MziziMkavu , MshanaJr na wengineo naomba msaada wenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…