Nyota ya Punda na character zake

Mimi ndio usiseme niko vyema kwa bata hivi ninavyo chat niko kwenye boat kutoka znz naelekea Dar kwa wikiend kurudi jpili jioni.
Kwa bata sikomi mazee !
Aise fanya basi kunigawia namie hizo bata mshkaji
 
MziziMkavu embu tuwekee na nyota ya CANCER (Crab)
 
Nimeisoma vyema nyota yangu, shukrani
 
Asante sana mkuu MziziMkavu
 

Mkuu nashukuru Mimi ni Leo na kiukwel nipo very bold,nshawai pewa million tatu nkaenda Nazo Zanzibar kustareh zikaisha zote,ilikua 2008 iyo,..nashukuru kwa ufafanuzi yote uliosema ni kweli,.. I am king of the jungle lol,OK tx
 
MziziMkavu embu tuwekee na nyota ya CANCER (Crab)


NYOTA YA KAA (CANCER)
Hii ni nyota ya nne katika mlolongo wa nyota 12.
Wenye nyota hii ni wale waliozaliwa kati ya tarehe 21 Juni na tarehe 20 July ya mwaka wowote.
Sayari yao ni mwezi (moon).
Siku yao ya bahati ni Jumatatu.
Namba yao ya bahati ni 2 na 7.
Rangi yao ya bahati ni Nyeupe.
Asili ya nyota yao ni Maji.

KIPAJI CHA KAA (SENSITIVE):
Wenye nyota hii wana kipaji cha hisia ya kugundua mambo yanayotendeka ikiwa ni pamoja na kubashiri mambo, kumwelewa mtu kwa undani na kujua jambo ambalo mtu anataka kulifanya au jambo litakalotendeka hasa kwenye watu wengi.

TABIA ZA KAA
Watu wenye Nyota hii ni wenye tabia ya hisia nzito ni wapole na wenye huruma. Wakiwa na dhamira ya ulezi na kuwaangalia watu wengine na hiyo inaonekana waziwazi katika nyumba zao na familia zao.
Hata hivyo upande mwingine ni watu ambao wana gubu na wakali ne wenye kupenda kujishughulisha na wanajiamini.
ni watu ambao wanaweza kubadilika lakini wenye msimamo na itikadi na wanaweza kuwa ni wenye wivu mkali na wenye kudhibiti.

TABIA YA KAA KATIKA MAPENZI :
Hisia ni kitu muhimu sana katika mapenzi kwa wenye nyota hii pamoja na kwamba kimaumbile ni watu wanapenda kujilinda na wanaogopa sana kuumizwa kimapenzi na wapenzi wao.
Wanapenda sana kuwa karibu na wanayempenda na kuwaonyesha huba na upendo mkubwa. Kwao hakuna mapenzi ya nusu nusu na wanapenda sana kuwa na mtu ambaye atadumu nae milele.
Wenye Nyota hii bila ya kuwa na mpenzi hujihisi hawajatimiza lengo lao katika maisha hivyo basi huwa hawana raha.
Ni wapenzi waaminifu na wanategemea wapenzi nao wawe waaminifu kama wao.
Ni wagumu sana kuachana na wapenzi na inapotokea huwa hawaagi wako radhi wao waumie kuliko kuachana na anayempenda.

MATATIZO YA KIAFYA:
Nyota hii inatawala njia kuu ya chakula kuelekea tumboni, mbavu, mfupa wa kidari, tumbo la uzazi, utumbo mdogo na utumbo au sehemu zote za kusagia chakula.
Vile vile inatawala bandana na matiti.
Tatizo lao kubwa la maradhi yao linatokana na ukimya wao wanapoudhiwa. Inapotokea hivyo wao hushindwa kusema na huumia kimya kimya.
Maradhi yao makubwa yanakuwa maradhi yanayosababishwa na gesi , au vidonda vya tumbo au kiungulia au maradhi yanayotokana na mwili kuwa mnene au umbo kubwa.

KAZI ZA WENYE NYOTA YA KAA:
Wenye nyota hii wanatakiwa wafanye kazi ambazo zitawafanya wao wawe walezi wa wale wanaowatumikia ili kukidhi mahitaji ya nyota yao.
Wanatakiwa wafanye kazi za utabibu kama vile Madaktari au Wauguzi, kazi za baharini kama vile mabaharia, kazi za huduma ya chakula kama hoteli, migahawa, kazi za kuhudumia watoto kama katika shule za chekechea, kazi za benki au kazi za maneja utumishi au kazi za kuandika.

FAMILIA ZA KAA:
Wenye nyota hii ni wazazi asilia, na wazazi wakiume mara nyingi huonekana wakiwasaidia wake zao kulea watoto.
Wanafanya kwa bidii kuhakikisha familia zao zinapata kila kitu kinachohitajika.
Mzazi wakike ana hisia kiuzazi kuliko mume na kwa mtoto kwa mtoto anyependa kuwa huru kuna muda hujihisi kwamba mama yake anambana.
Wazazi wa nyota hii wana tabia ya kuangalia mambo yaliopita nyuma hivyo hupenda mambo yasibadilike milele.
Hali ya Wazazi hao ya kubadilika badilika huwapa wakati mgumu watoto hasa wale wenye hisia ndogo ambao huhisi wanasukumwa sana na hutaka kujikomboa ili waondokane na baa hilo.
Wazazi wenye nyota hii hupenda sana watoto wao wafanye wanzozitaka wao kinyume na matakwa ya watoto wao .

MADINI YA KAA:
Wenye nyota hii wanatakiwa wavae madini ya moonstone au jiwe lolote lenye rangi ya maziwa.
madini haya yana uwezo wa kuongeza hisia na kufanya wawe na ari ya kuwatumikia na kuwakinga wenzao.

UHUSIANO WA KIMAPENZI:
Tabia ya Mbuzi ya ubahili na kutopenda anasa hulainishwa na tabia ya Kaa ya upendo, huba na huruma ambayo humfanya mbuzi atulie na atumie kile alichonacho .

VYAKULA VYA KAA:
Wenye nyota hii wanashauriwa wapende kula vyakula vifuatavyo ambavyo ndivyo vyakula vinavyotawaliwa na nyota yao.
Vyakula vyenyewe ni kama Mapeas, kaa au vyakula vya baharini, na mboga kama kabichi na saladi (lettuce).

NCHI ZA KAA:
Ili kupata mafanikio ya kinyota wenye nyota hii wanashauriwa watembelee au waishi katika miji au nchi zifuatazo ambazo zinatawaliwa na nyota yao.
Miji hiyo ni New York (Marekani) na Venice (Ugiriki) au nchi za New Zealand na Scotland.

RANGI ZA KAA:
Wenye nyota hii wanashauriwa kinyota wapake au watumie rangi zozote ambazo siyo nzito au zenye uwiano na rangi nyeupe.

USHAURI WANGU:
Ukitaka Usafishwe Nyota yako ili ipate kung'ara na kuwa na bahati na ukitaka Pete yako ya Bahati na kinga Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +44-7459-370-172 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili Herbalist Mzizimkavu.
 
Acha kunifanya nicheke bana[emoji3]

Hivi simba na simba kwenye mapenzi inaendana?
Inaendana sana Simba kwa simba kimapenzi.
Love Compatibility

Leo and Leo


When two Leos join together in a love match, they draw a great deal of attention. Others hold their breath and take notice. Two such stunning, creative, gregarious individuals seem to deserve one another. Theirs is an unbeatable combination when it comes to socializing, heading a group, or even inspiring others in the ways of romance. This duo was instantly attracted to their fellow Lion’s good looks, and neither was shy in manifesting their desires.

As the Lion is King of the Jungle, the Leo-Leo combination roars with the energy and enthusiasm of two natural-born leaders. However, it is this same passion and bossiness that each must learn to tame to remain compatible. Devoted to the House of Pleasure, this couple enjoys the finer things in life and won’t think twice about showing one another a good time. Things can get dramatic, and each Leo feeds off the other’s need for constant attention.

Leo is ruled by the Sun. This is the perfect symbol of the Leo’s perception of self: positioned at the center of the planets. The Sun emanates a great light, power and strength. And, also like the star that illuminates the earth, the heat from The Sun can be deeply felt by those closest to it and it guides them on their journeys. The Sun can also scorch those in its path, their sense of dramatics, exaggeration and self-centeredness, making them at times burdensome for their partner or those around them.

Leo is a Fire Sign. The red-hot passion of two Lions together is unstoppable. Their Fire, combined with reliance on physical action (rather than emotional or intellectual) makes the relationship highly dynamic. This intense energy can be wonderful if it avoids catastrophe. It will either be the ‘best of times or the worst of times’ as their relationship swings the pendulum between sheer love and total dismissal. It will take a concerted effort from both parties to make this relationship have some sort of fluidity, but the Leo need for constant attention and admiration will draw them together.

Leo is a Fixed Sign. There is always a power struggle when two Fixed personalities join together. The rational and social side of the Lion will allow this couple to resolve their differences if they want to badly enough. Each will make concessions, but only occasionally. The Fiery Leo temper can explode quickly and often, but clashes are quickly forgotten so that the good times may continue.

What’s the best aspect of the Leo-Leo relationship? It’s their amazing fun-loving capacity and the wealth of creativity. The good times go on and on and on. Socializing, entertaining and amusing one another make these two a knock-out love match. Leo and Leo Love Compatibility
 
Duuh kingreza tena

Nyani Ngabu njoo unikalimanie hapa

Vipi mshale na simba?

La mwisho hilo nisikuchoshe mweeh
 
Siku zote ukizaliwa na nyota ya punda utakuwa mbeba mizigo mpaka kufa kwako,
Na kama ukizaliwa nyota yako ya Mbwa utakuwa polisi,mgambo au mlinzi mpaka kufa kwako.!
Mimi sijajua nyota yangu ila kazi yangu ni kuuza majeneza na sanda.!
 
Nashukuru sana kaka kwamaelezo yako kiukwel kabisa yanaakisi maisha yangu
 

Watanzania huwa tunaamini na kufuata yale ambayo tunafundishwa katika mazingira yetu elimu nyingine inapoletwa tunaona kama ni upotoshaji. Elimu ya nyota lengo lake kuu ni kufanya ujitambue wewe ni nani kwa mfano kuna mambo nilikuwa nafanya nikawa sielewi kwann lakini nilipochunguza nikajua kwann. Ukisoma kwa makini hakuna sehemu inayokupelekea wewe kuabudu imani fulani zaidi ya kukuonyesha wewe au mtu fulani ana tabia zipi na ujue jinsi gani ya kuishi na watu. Kuna vitu huwa tunasomea lakini haikuwa fani yako kulingana na wewe ulivyo.
 
Mkuu mm nimezaliwa April 20, naona punda na ng"ombe sipo, ntakuwa nyota gan?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…