Nyota ya Naibu katibu mkuu wa CHADEMA Zanzibar Salimu Mwalimu yang'ara

Hao uwaite machogo, wazanzibara or anything watabaki kuwa ni wazanzibari wenye haki ya kupiga kura kuchagua viongozi wao wa zanzibar na hawabaguliwi, unaeleta ubaguzi ni wewe kwa sababu hujawaona wana wajihi kama wale masultan wako ambao kiukweli wao ndio wakuja, zanzibar kiasili ni ya wabantu upende usipende na kasumba zako za kiarabu na udini!

Wacha porojo, hao hata kupiga Zanzibar hawaruhusiwi.
 
Kwa maoni yangu,Salum Mwalimu ni mwanasiasa kijana mwenye mvuto kuliko wanasiasa wote katika vyama vyote vya siasa.
Amenza mwaka 2015 kwa mafanikio makubwa.
Mwalimu kwa cheo chake,amewafunika wenzake kutoka vyama vingine vyote.
Atakisaidia sana chama chake.
 
Kwa maelezo yako finyu watakuelewa jirani zako tu.
 
Kwa maoni yangu,Salum Mwalimu ni mwanasiasa kijana mwenye mvuto kuliko wanasiasa wote katika vyama vyote vya siasa.
Amenza mwaka 2015 kwa mafanikio makubwa.
Mwalimu kwa cheo chake,amewafunika wenzake kutoka vyama vingine vyote.
Atakisaidia sana chama chake.

Inawezekana una mnadi ndugu yako...sasa ukitaka support ili "mtoke" muelezee watu wenye akili wamtambue!
 
Mimi bado simu amini! Sijui ule ukaribu wake na CCM hadi mwenyekiti wao? Hilo tukae nae sawa kama Zana Za Kilimo
 
Back
Top Bottom