Nyota ya Naibu katibu mkuu wa CHADEMA Zanzibar Salimu Mwalimu yang'ara

uyu ametumwa na usalama wa taifa na hili jaribio la pil kuimaliza cdm baada ya la zito na act kukwama.
 
uyu ametumwa na usalama wa taifa na hili jaribio la pil kuimaliza cdm baada ya la zito na act kukwama.

Unaumwa wewe si bure,cdm tunamwamini na ni kiongozi wetu ambaye huwezi mlinganisha na yule dogo msaliti na mnafiki.
 
Safi sana Mwalimu, kwa sababu ya umahiri wake umelazimu hata Dr.Slaa kupata mda wa kupumzika.
 
Nimemuona Salim Mwalim na demu wake mbunge Ester Matiko chanel ten. Dah, ester matiko yuko bomba cute katibu mkuu wa chadema anafaidi sana.
 
Nimemuona Salim Mwalim na demu wake mbunge Ester Matiko chanel ten. Dah, ester matiko yuko bomba cute katibu mkuu wa chadema anafaidi sana.

Njomba si uanzishe kauzi kako kando kuliko kuchafua mada yetu?? Weye mawazo yako ni chini ya mti tuuuu mpaka lini? Jamani tutafika??? Kweli walisema; Mswahili asipate, akipata tu kaongeza mke wa pili, mhindi anaongeza mtaji wake na mzungu ananunua gari la mkewe
 
Kweli salim mwalimu yuko vizuri sana huyu kamanda, tumuunge mkono anaweza.

Namtabiria makubwa nchii hii lakini kama ataendelea na umoja huo ila atakapokuwa kama Zito basi ndo ataporomoka mpaka kilindini
 
Waunguja wajae hivyo usione kibaraghashia wala abaya? Maawe!

We kibibi wa magamba aka chama cha malori, mafisadi,escrow, mapingamizi , wazandiki , wezi wa kura, umwagiaji watu tindikali , watekaji, wang'oaji kicha na meno bila ganzi upoooo?????
 
Back
Top Bottom