Nyoshi na Bogos amewaacha mbali sana CP Academia ya Patcho Mwamba

Nyoshi na Bogos amewaacha mbali sana CP Academia ya Patcho Mwamba

Hii ni band ambayo kimsingi makazi yake hasa iko Arusha. Na kiwanja chao cha nyumbani ni Club Moja inaitwa Mjengoni Club. Mtu anaweza jiuliza, inakuwaje Arusha mji ambao unajulikana kuwa ndio nyumbani muziki wa Hip Hop, inafunguliwa band?

Miaka ya 2010, kina Ndanda Kossovo (Marehem) waliweka kambi Arusha na band yao. Lakini ilitokea sintofaham band ile ikavunjika..

Wakati inavunjika mwanamuziki aliyekuwa na ndanda, Robert Mukongya, alichukulia na tajiri mmoja mmiliki wa hiyo mjengoni club na Kampuni ya Mjengoni Classic. Kipindi cha mwanzo walikuwa wanarudia tu nyimboa za wanamuziki kama kina Fally Ipupa, kama ilivyo band ya Super Kamanyola ya Mwanza inayopiga Villa Park..



Baadae wakaanza kufanya muziki rasmi as a Profession Music Band... So kwa sasa band hiyo inaongozwa na Rais anbaye ni Robert Mukongya au Maaruf Digital Mukongya Shindikana.



Na hii ni moja ya nyimbo yake..



Hii ni moja ya sebene yao..



Pia hii




Kwa sasa band hii iko formal zaidi kwani ina uongozi rasmi, mikataba kwa wanamuziki.. Mfano kwa sasa ina mkataba na Mirinda Nyeusi na 33 Namba Namba aliyekuwa FM Academia..



Na hii pia



Band hii imejitahidi kupenya digitali na hasa kufanya kazi na bongo flava kama njia ya kutanua wigo wa muziki wao..


View attachment 1084004
Duuuh! Nimekukubali mkuu wewe kweli ni mdau wa muziki wa dansi. Ni muziki unaolipa sana ukiwa na kiongozi serious na uwekezaji mzuri.
 
Back
Top Bottom