Basi basi usinifikishe mbali,nisamehe nimekoma,ila kwa upande mwingine huyu mama/dada tabia yake haijakaa sawa,aliona nyonyo yake nzuri haionekani,akaamua kuitoa nje ili jamaa aione,duh!
gud boy..
u mwanaume mwema..usopenda ligi
yaan ivi ndvyo mwanaume anatakiwa awe...sasa apa ungejifanya kupandisha mistar weeeeeeeeeeeeee ungeniona apo mbele ya monitor yako....
Haya matani mengine kwa wanaume huwaga siyo mazuri mazee dada amesababisha jamaa akapitiliza kituo akisubiri bahati kwenye hakuna. Stupid zake jamaa na uroho wake lakini.