Nyonya Bebi .......

Nyonya Bebi .......

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
21768313_10212042672474727_4208893324952699683_n.jpg
 
Hapo mkewe akimpigia simu anajibiwa kwa jeuri , asilolijua ni kuwa inapendwa pesa yake tu hapo.
 
Hizo ni moja ya picha kwenye shooting ya wimbo wa Ray vanny uitwao Unaibiwa..huyo mzee alimchukua kama muhusika mkuu.
 
Sura kama yule rais wa ile nchi ya ubinafsishaji mashirika ya umma mwenye viungo vya nyongeza feki vya kujongelea wa kuleeeee.
Simuoni siku hizi mitandaoni.
 
Hapo mkewe akimpigia simu anajibiwa kwa jeuri , asilolijua ni kuwa inapendwa pesa yake tu hapo.
uyo mtoto ampende asimpende ilimradi mzee anapata huduma,wanawake mmeumbwa kwa ajili yetu bwana kama anauwezo wa kuwatumia kwanini ajivunge ,eti kisa ana mke!?
 
Hahahahahhaaaa bint anamdanganya mzee kuwa anampenda mzee hajali anaependa uongo ili amalize maisha yake ya dunia akiwa ana furaha that is what we call life
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom