ferre.g
JF-Expert Member
- Mar 3, 2013
- 2,215
- 327
Ndugu wana JF habari zenu,
Nimekuja tena kuwajuza namna serikali ya CCM inavohujumu wafanyakazi wake na hasa WALIMU,ni hivi majuzi tu walimu waligoma na kupelekea wanafunzi kuhaha huku na kule wakihitaji kupaza sauti zao na hasa wale wa msingi na hata kufika kupeleka lawama kwa serikali kuwa iwalipe walimu kile wanachodai.
Lakini mbaya zaidi serikali ilikimbilia mahakamani na kuitumia hiyo kama kura TURUFU dhidi ya walimu na hapohapo walimu wakamuuliwa na mahakama kurudi kazini haraka na mezani kujadili MADAI YAO.
Ni kama sikio la kufa halisikii dawa,haki ya mumgu huwezi amini....leo nikiwa ofisi za AFISA UTUMISHI.....amenipatia waraka wa nyongeza ya mshahara wa 2013/2014 ukiwa umeonesha dhuluma kubwa sana kwa watumishi wa serikali yetu na kwa hili hatutakaa kimya na tutadai hadi kukuche na ikibidi kuwatoa madarakani,bora tufe huku tumesimama.NYONGEZA NI 8.4% KWA WATUMISHI WOTE.Tujadili;
1.Hivi kweli kwa mfumuko huu wa bei na ongezeko la KODI lilivokubwa hivi hawa wafanyakazi wataacha UFISADI na kutokukaa maofisini?
2.BIG RESULT NOW[BRN] je itafanikiwa ktk wizara hizi nne ambazo ni ELIMU,MIUNDO MBINU,KILIMO NA UCHUKUZI?
3.Hawa walimu hivi kweli watapata moyo tena wa kazi na ikizingatiwa waligoma kudai maslahi yao hadi serikali kwenda mahakamani na kuweka zuio?
4.KWA MFANO MIMI MWALIMU MWENYE NGAZI YA MSHAHARA YA TGTS-D1 INAMAANA NTAKUWA NACHUKUA MKONONI 447,654 WAKATI BASIC NI 586,789 NA MIMI NDO MUHITIMU WA CHUO KIKUU YANI NINA SHAHADA,SASA NI KWELI CCM WANAJALI WATUMISHI WA UMMA NA HASA WALIMU