Nyomi la CHADEMA Arumeru leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyomi la CHADEMA Arumeru leo

Discussion in 'Jamii Photos' started by Chenge, Mar 23, 2012.

 1. Chenge

  Chenge JF-Expert Member

  #1
  Mar 23, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 1,077
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  [​IMG]
   
 2. L

  LAT JF-Expert Member

  #2
  Mar 23, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  duh .... shati la prof. majimarefu hilo
   
 3. N

  Nsuri JF-Expert Member

  #3
  Mar 23, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 997
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 60
  Si mchezo,ila watapiga kura wote?isije ikawa wamekuja kuangalia helkopta
   
 4. mwanapolo

  mwanapolo Senior Member

  #4
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 194
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  ni nyomi kweli au ni kale kamchezo ka camera zetu za kisasa!!!
   
 5. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #5
  Mar 23, 2012
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hilo nyomi lote wenye vitambulisho vya kupigia kura hawazidi 50.
   
 6. M

  Mr.Busta JF-Expert Member

  #6
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 672
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  haikuhusu!
   
 7. Mundali

  Mundali JF-Expert Member

  #7
  Mar 23, 2012
  Joined: Sep 16, 2010
  Messages: 749
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Kama ni hivyo, mna shaka gani magamba mpaka mnaweka vituo hewa?
   
 8. Dullo

  Dullo JF-Expert Member

  #8
  Mar 23, 2012
  Joined: Oct 24, 2009
  Messages: 252
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama kweli safi, lakini nakuwa na mashaka maana hiyo picha iko kimya sana, haina maelezo yeyote!!
   
 9. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #9
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 160

  By 2015 wote watakuwa navyo.........huu ndio uamsho wenyewe......hata TANU ilianza hivihivi na mkoloni akaibeza kama unavyo beza weye
   
 10. MPAMBANAJI.COM

  MPAMBANAJI.COM JF-Expert Member

  #10
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 704
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 60
  Nitashangaa sana hao CCM wakishinda,Wameru watakua watu wa hovyo kulikoni Igunga.Kwani wameru niwasomi na niwaelewa zaidi
   
 11. M

  Molemo JF-Expert Member

  #11
  Mar 23, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Mkuu tupe live coverage
   
 12. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #12
  Mar 23, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Kila siku nasema elimu ya uraia kabla ya chaguzi au wakati hakuna uchaguzi ni muhimu sana
  Kuwaeleza watu haki zao na umuhimu wa wao kujiandikisha kupiga kura na kuchagua viongozi wao
  Asilimia kubwa ya vijana hawana vile vitambulisho vya mpiga kura na hili ni tatizo la kila sehem
  wengi hata waliovipoteza bado hawajapata vingine
  Tungeviambia vyama vya siasa kuwa wakati hakuna issue yoyote ya uchaguzi waende huko vijijini wakatoe alimu ya uraia kuwaambia wananchi umuhimu wa kupiga kura na kujiandikisha na umuhimu wa kuwachagua watu au viongozi wanaowapenda na watakaoowaletea maendeleo yao na sio bora kiongozi ambaye anaonekana kwenye kampeni tuu akishapata kura ndo ameondoka
   
 13. EBENEZA MT

  EBENEZA MT JF-Expert Member

  #13
  Mar 23, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 264
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ccm tupo hapa kwenye uwanja mpira chuo cha ualimu patandi naona watoto wa shule msingi ya patandi na wananchi wanapita kwa mbali kama upo karibu na eneo tunaomba ukaribie.
   
 14. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #14
  Mar 23, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  utaamini siku ukiikuta people's power ipo white house
   
 15. Cha Moto

  Cha Moto JF-Expert Member

  #15
  Mar 23, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 945
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Duuuh, kazi ipo
   
 16. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #16
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  hii picha inasisimua kwa kweli. Na hili jimbo sasa linaenda cdm
   
 17. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #17
  Mar 23, 2012
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Wewe mtu mzima ebu tumia akili hata kidogo hiyo picha ni Arumeru hapo? Au mnaamua tu kudanganyana?
   
 18. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #18
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,655
  Likes Received: 2,897
  Trophy Points: 280
  Atakufikisha mahakamani
   
 19. M

  MpendaCHADEMA Member

  #19
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbona hiyo picha ya nyomi la chadema siioni!!!
   
 20. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #20
  Mar 23, 2012
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hawa jamaa sijui wanamdanganya nani tizama hao watu wa mbele halafu wanaofata unawaona kwa mbali, picha imechanganywa hiyo.
   
Loading...