Nyomi la CHADEMA Arumeru leo

Nyomi la CHADEMA Arumeru leo

Inadhihirisha jinsi ukiritimba wa CCM ulivyofeli! mwamko wa wananchi upo at its maximum level.
 
538449_364650896912386_100001024378293_1142482_362472890_n.jpg

ila kweli, yatubidi tushituke. saa hizi ndo kwanza inakaribia saa kumi. picha imepigwa saa ngapi mpaka itumwe wakati mikutano mingi ya kampeni inafanyika kuanzia saa kumi jioni?
 
Hawa jamaa sijui wanamdanganya nani tizama hao watu wa mbele halafu wanaofata unawaona kwa mbali, picha imechanganywa hiyo.

Hakuna cha kuchanganya hapo, hii picha wala si ya Arumeru. Hii ni Mbeya mkuu. Huyu aliyeleta hii picha ana lake jambo hapa. Ni bora tuwe wakweli kuliko kudanganyana namna hii.
 
Hacha uongo wewe, hii picha ni ya mwaka 2010 kampeni za uraisi, hapo Dr yupo bukoba. Mimi ni chadema damu lakini sipendi uongo.
Hivi hii ilikuwa ni bukoba au mbeya? Basi nimechanganya madesa, but nakumbuka hii picha ni ya mbeya hii wakati wa kampeni. Huyu Chenge lazima ni CCM huyu na anaona ameamua kuwachezea akili CHADEMA. Hovyo kabisa huyu jamaa.
 
Hilo nyomi lote wenye vitambulisho vya kupigia kura hawazidi 50.

Yes, this is good logic Broz Tito - washiriki wengi ( say 1,000) waliojiandikishawachache(hawazidi 50) ila penye waliojiandikisha wachache (wanafika, say 100) waliojiandikisha wengi (98)

Is common sense still common with some guys? :lock1:
 
Hivi hii ilikuwa ni bukoba au mbeya? Basi nimechanganya madesa, but nakumbuka hii picha ni ya mbeya hii wakati wa kampeni. Huyu Chenge lazima ni CCM huyu na anaona ameamua kuwachezea akili CHADEMA. Hovyo kabisa huyu jamaa.

Sina uhakika sana kama hii picha ni mbeya au bukoba, ila ninachofahamu hii picha ni ya 2010 ninayo katika computer yangu tokea uchaguzi wa mwaka 2010 umalizike. Huyu Chenge ovyo sana.
 
Chama Chenye Mizengwe ( CCM) as majority if notall Tanzanian citizens call it today, CCM is a dinosaur from the past. Using business asusual modal for Arumeru’s campaign will not help the Magamba for long run. CCM you're promising what youcan't fulfill to Arumeru Voters and you know that. You say what you don'tbelieve by yourself, CCM look, if you tell someone you're going to do something"Maisha bora @ Mtanganyika" do it, "CCM you have to live by yourWords". CCM you'll never continue deceiving (faking) people by preaching thosesweet politics words (fake promises) that you will never dream to fulfill. CCMyou know for sure that you don't have proper plans (budget) in a place to turnto for fulfilling you fate promises for Arumeru east Voters. CCM you aredrafting in the sea of panic without Captain or Map...and you using Dinosaurs from the past "Obsolete" ( cadreslike Mr. Wassira, Mr. Mkapa and Sendeka)outdated politicians. CCM nilikupendasana lakini Nimeamua kujiunga na Chama Chenye Mtizamo wa Ukombozi ( CHADEMA). CCM umenitesa sana kwa Kukutetea Madhambi yakonilipokuwa kwenye Vikao vyingi , sasa Nimehamua Kuchagua kilicho chema ilinisiendelee kuitesa nafsi yangu. Nimehamuakujiunga rasmi , kwa hali na mali nitakitumikia CHADEMA na Nitafuata na kutii taratibu zote za chamabila unafiki wowote, Mungu Nisaidie, Mungu kisaidie CHADEMA na Mungu IbarikiTanzania na watu wake. The Motto, CHADEMAand all Tanzanian let us not be desperate by CCM’sTBC media for sure the enemy is losingthe battle at Arumeru east . Let us unite for sure Arumeru east will be the corner stone of true TanganyikaRevolution .
" This is the message of today andwill be the message of tomorrow."<o😛></o😛>

 
Michuzi blog is Biased!! Shame on Him!! Tuipotezee na Tusiwe Tunaisoma!! M******
 
chadema ndicho chama pekee ambacho kitaleta tumaini jipya kwa watanzania
 
Chadema kama wingu la nvua lililotanda angan nghaaaaaa! Na cjui 2015 itakuwaje maana vijana wengi wameamka. Wamebaki mazuzu kidogo 2 kama wa.............magamba
 
Chenge umejiharibia reputation yako kama ulikuwa nayo kwa kudanganya wanaJF hutaaminika tena.



<v:shapetype id="_x0000_t75" stroked="f" filled="f" path="m@4@5l@4@11@9@11@9@5xe" o😛referrelative="t" o:spt="75" coordsize="21600,21600"> <v:stroke joinstyle="miter"> <v:formulas> <v:f eqn="if lineDrawn pixelLineWidth 0"> <v:f eqn="sum @0 1 0"> <v:f eqn="sum 0 0 @1"> <v:f eqn="prod @2 1 2"> <v:f eqn="prod @3 21600 pixelWidth"> <v:f eqn="prod @3 21600 pixelHeight"> <v:f eqn="sum @0 0 1"> <v:f eqn="prod @6 1 2"> <v:f eqn="prod @7 21600 pixelWidth"> <v:f eqn="sum @8 21600 0"> <v:f eqn="prod @7 21600 pixelHeight"> <v:f eqn="sum @10 21600 0"> </v:f></v:f></v:f></v:f></v:f></v:f></v:f></v:f></v:f></v:f></v:f></v:f></v:formulas> <v😛ath o:connecttype="rect" gradientshapeok="t" o:extrusionok="f"> <o:lock aspectratio="t" v:ext="edit"></o:lock></v😛ath></v:stroke></v:shapetype><v:shape style="width: 240pt; height: 180pt; visibility: visible; mso-wrap-style: square;" id="BLOGGER_PHOTO_ID_5534205962788965346" type="#_x0000_t75" o:button="t" href="http://2.bp.blogspot.com/_hfIC-2NR5Xg/TM1zAG3ii-I/AAAAAAAAApw/a2QmciYRFGE/s1600/Kada+Mbeya.JPG" alt="http://2.bp.blogspot.com/_hfIC-2NR5Xg/TM1zAG3ii-I/AAAAAAAAApw/a2QmciYRFGE/s320/Kada+Mbeya.JPG" o:spid="_x0000_i1025"> <v:imagedata o:title="Kada+Mbeya" src="file:///C:\Users\HP\AppData\Local\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image001.jpg"></v:imagedata></v:shape>Pichani,Goodluck Haule, aliyekuwa mwanachama wa CCM, akimkabidhi Dk Slaa moja ya mavazi ya CCM baada ya kukihama na kujiunga na Chadema jana mjini Mbeya kwenye Uwanja wa Ruandanzovwe jijini Mbeya 30/10/2010
 
Chadema kama wingu la nvua lililotanda angan nghaaaaaa! Na cjui 2015 itakuwaje maana vijana wengi wameamka. Wamebaki mazuzu kidogo 2 kama wa.............magamba

patakuwa hapatoshi kwani ccm sasa wanatapatapa tu
 
Jumanne ntakuwa arusha nataka nijue kama chadema watakuwa na kampein ili namimi nishuhudie kwa macho yangu na itakuwa pande zipi
 
kwa kweli watanzania sasa wameshaichoka ccm.lazima tuiangushe CCM arumeru
 
Mi naomba kuuliza hivi kwenye kampain. Wa si si. Em. Wameishiwa hoja eh? Maana jana nawackia wanatoa tu mipasho. C wakaimbe 2 taaarab au vp jamani
 
Back
Top Bottom