"nyoka"...! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

"nyoka"...!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by BAGAH, Mar 14, 2012.

 1. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #1
  Mar 14, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  ...nadhani wote tunamjua nyoka!..si ndio?
  ...tumewahi kumuua,au kumuona tu anakatiza sehemu,au umewahi KUGONGWA nae, au kukutemea MATE...au kukukosakosa kwa hayo yote.
  ...binafsi huyu ni mnyama ninaemuogopa sana...na nyoka bana hata awe MDOGO vip,anaogopesha tu!
  ...vip ujasiri wako ww unapokutana na nyoka?
  ...au ww ni mnyama/mdudu gani (kwa mazingira ya kawaida) ukikutana nae mapigo ya moyo yanabadilika?
  NB:WE ARE TALKING ABOUT SNAKE!
   

  Attached Files:

 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Mar 14, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Naogopa lukaka(vunja jungu)
   
 3. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #3
  Mar 14, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 8,126
  Likes Received: 940
  Trophy Points: 280
  Huwa nanyong'onyea na kuwa mdogo kama piritoni pale mtoto anapoita kwa sauti ya woga:
  "Baba! Baba! Kuna nyoka kaingia chumba hiki!
  Natafuta fimbo na kujititimua nayo: "Yuko wapi huyo?"
  Lakini ukweli ni kwamba muda wote tangu kupata taarifa kwamba huyo mjamaa kaingia kwenye chumba fulani moyo wangu unaenda mbio na miguu kunitetemeka.

  Hakuna mnyama anayenitia hofu kubwa kama nyoka!
   
 4. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #4
  Mar 14, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Sipendi chura. . .jana nimemwona mmoja bafuni (rangi ambayo sijawahi kuona kabla kwahiyo hata sikujua ni chura mpaka nilpoambiwa) nilifunga mlango wa bafu na sikuingia tena humo mpaka nilipopata mtu wakuja kumtoa asubuhi.

  Nachukia na kuogopa anything that creeps around when people aren't really paying atenttion. Yani mende, sijui nyoka, mijusi sio sana, nge, kinyonga, na vinyama/vidudu vingine vingine vinavyoweza kukupandia hata kwenye nguo bila taarifa.
   
 5. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #5
  Mar 14, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Nyoka hanaga shida na mtu sema tu sisi wanadamu ndo tunawaogopa ila hakuna mtu aliyewahi kufukuzwa na nyoka bali nyoka akimuona mwanadamu huwa anakimbia zake ila kwa chuki zetu huwa lazma tumtafute hadi tumuue...
  Lol ni ukatili huo....
  Kula mnyama ana haki ya kuishi....tuwapende na tusiwachockoze......
   
 6. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #6
  Mar 14, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  hahahahaaa...ubaba kazi kweli kweli!..au anakupotea palepale chumbani...hujamuua na humuoni...duh hapa ndo nakosaga pozi!
   
 7. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #7
  Mar 14, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Lizzy za masiku mupe.?
  unamaanisha kitu kama hiki sio?
   

  Attached Files:

 8. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #8
  Mar 14, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 4,000
  Likes Received: 1,126
  Trophy Points: 280
  NYOKA anaishi PANGO !!...si eti Kongosho?
   
 9. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #9
  Mar 14, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  kwa iyo ww unapenda NYOKA???
   
 10. SIM

  SIM JF-Expert Member

  #10
  Mar 14, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 1,637
  Likes Received: 790
  Trophy Points: 280
  Hivi nyoka au (njoka kikwetu) ni mnyama au mdudu?
   
 11. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #11
  Mar 14, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  We Bagah hiyo Mupe. . .inahusu??
  Ahhh jongoo simwogopi wala simchukii, katulia sana.
   
 12. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #12
  Mar 14, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,867
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  nachukia wadudu wote.....
  Nyoka
  mende
  panya
  vunjajungu
  duduwasha
  nge
  tandu
  jongoo
  konokono
  buibui
  viwavi
  funza
  nk
   
 13. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #13
  Mar 14, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Sina uhakika ila naamini siwapendi ila nao wana haki ya kuishi
   
 14. Vmark.

  Vmark. JF-Expert Member

  #14
  Mar 14, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 1,361
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Nyoka jaman nyoka! Nikimchukia m2 kama nyoka cjui ka atakua hai tena!!!
   
 15. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #15
  Mar 14, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  kwa nn isihusu Mupe?...kwa iyo jongoo akikupandia poa tu wala hushtuki sio?
   
 16. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #16
  Mar 14, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  nimeipenda hii asee!
   
 17. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #17
  Mar 14, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  ni mnyama!
   
 18. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #18
  Mar 14, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Namtoa tu kiustaarabu. . .Kama vile mchwa, sisimizi au siafu kama hajaning'ata.
   
 19. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #19
  Mar 14, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  maana kuna dada nakaa nae jirani,ukimrushia jongoo anaweza akazimia!...
  nikajua ni wote mko ivo!
   
 20. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #20
  Mar 14, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mie n'nge ndo simtamani, na wale wanaitwa ngadu.
   
Loading...