Kuna dhana nyingi sana kwamba si rahisi kuwakuta paka wakiwa katika mapenzi. Ipo dhana kwamba ukikuta paka wanafanya mapenzi eti hiyo ni nuksi.
Kuna kipindi nilikutana na kisa ambacho sijawahi kumsikia mtu akikizungumzia. Kuna siku nilienda shambani sasa katika kichaka nikaona nyoka wawili wakiwa wamepishanisha vichwa vyao nikaweza kubaini kwamba wanafanya mapenzi.
Walivyoona nimewaona wote wawili wakaanza kunikimbiza. Nilikuwa na jembe nikafanikiwa kuwaua wote wawili. Hii siyo ndoto ni kitu LIVE. Swali langu kwa wenye kutambua hili. Je maana yake nini?