Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,317
- 40,141
Hujawah mwona nyoka akikata viunoWw ndo huna akili coz maswala ya viuno na nyoka vimeingiaje
sanaa mkuu.yani kama kudaka mpanziMkuu kwa hiyo huyo black mamba(koboko)mlikuwa mnamshika kiwepesi tu?
Black mamba au kwa jina lingine koboko huwa na hasira ukimtupia kitu, mna bahati hakuwafukuzaLeo kwenye pitapita zangu mida ya asubuh nipo mtoto wa mjomba tunaelekea shambani ghafla mbele wakati tunatembea tukakutana na nyoka mkubwa mweusi yule mtoto wa mjomba angu alipomuona akamrushia jiwe lilikuwa karibu yake cha ajabu yule nyoka hakukimbia bali akawa anatoa mlio wa ajabu na anazidi kutuna yaani amesimama nusu ya mwili amenyanyuka zaid ya cobra yaani nusu ya mwili wake ameunyanyua huku anatuangalia na anatoa mlio kilichonishangaza nyoka gan anarushiwa jiwe hakimbii nikamuambia yule mtoto wa mjomba tusimame tumuangalie tusikimbie basi akatuna huku anatoa mlio mpaka akaanza kushuka taratibu mpaka chini halafu akaondoka zake kwenye majani na safar ya shamba ikaisha hapo sasa huyo anaweza akawa nyoka gani na mdomoni mweusi sijawah kuona nyoka huyo
Alipiga jiwe ila halikumpata muda mwingine kama ndo huyo black mamba tumenusurikaSomething is fishy black mamba Ni Habari nyingine.Umrushie jiwe akuangalie tu ??
Huyo anaitwa black mamba..au kwa jina maarufu koboko.ni hatari sana siku nyingine ikitokea incident kama hiyo usfanye jambo la kumbugudhi..huwa anatulia akiona huna madhala kwake lakini inapobidi kufanya yake...huwa kuna vifo tu hakuna majeruhi
Ni black mamba bila shaka. Mara nyingi kabla ya kuvamia huwa anatia mlio kama tahadhari ili usiendelee kusogea mahali alipo au usiendelee kumchokoza, kama usipotii hiyo Sauti kinachofuata ni kushambulia. Nadhani mlitii mapema na kuacha kumchokoza ndo maana akaondoka zake. Msirudie huo mchezo
Leo kwenye pitapita zangu mida ya asubuh nipo mtoto wa mjomba tunaelekea shambani ghafla mbele wakati tunatembea tukakutana na nyoka mkubwa mweusi yule mtoto wa mjomba angu alipomuona akamrushia jiwe lilikuwa karibu yake cha ajabu yule nyoka hakukimbia bali akawa anatoa mlio wa ajabu na anazidi kutuna yaani amesimama nusu ya mwili amenyanyuka zaid ya cobra yaani nusu ya mwili wake ameunyanyua huku anatuangalia na anatoa mlio kilichonishangaza nyoka gan anarushiwa jiwe hakimbii nikamuambia yule mtoto wa mjomba tusimame tumuangalie tusikimbie basi akatuna huku anatoa mlio mpaka akaanza kushuka taratibu mpaka chini halafu akaondoka zake kwenye majani na safar ya shamba ikaisha hapo sasa huyo anaweza akawa nyoka gani na mdomoni mweusi sijawah kuona nyoka huyo
Koboko. Dalili alizosema mtoa mada ndiyo hizohizo za koboko.Ndo jina lake black mamba??
Mkuu anaweza akakudharau.Kama ni huyu Nyoka Black Mamba ambaye Wataalam hapa wamemuelezea vyema kabisa siamini kama kweli aliwaacheni salama ila nahisi utakuwa tu umetunga hii Stori ukiwa na lengo tu la Kujifunza zaidi juu yake na kwa hilo au hii mbinu umefanikiwa.
Sasa nikikimbia atanipataje??Mkuu anaweza akakudharau.
Kwa mfano walivyosimama na kutulia walimpunguzia kisirani chake.
Lakini wangelimpa kisogo kumkimbia ndiyo hapo angewadhuru.
Koboko/Black MambaLeo kwenye pitapita zangu mida ya asubuh nipo mtoto wa mjomba tunaelekea shambani ghafla mbele wakati tunatembea tukakutana na nyoka mkubwa mweusi yule mtoto wa mjomba angu alipomuona akamrushia jiwe lilikuwa karibu yake cha ajabu yule nyoka hakukimbia bali akawa anatoa mlio wa ajabu na anazidi kutuna yaani amesimama nusu ya mwili amenyanyuka zaid ya cobra yaani nusu ya mwili wake ameunyanyua huku anatuangalia na anatoa mlio kilichonishangaza nyoka gan anarushiwa jiwe hakimbii nikamuambia yule mtoto wa mjomba tusimame tumuangalie tusikimbie basi akatuna huku anatoa mlio mpaka akaanza kushuka taratibu mpaka chini halafu akaondoka zake kwenye majani na safar ya shamba ikaisha hapo sasa huyo anaweza akawa nyoka gani na mdomoni mweusi sijawah kuona nyoka huyo
Mkuu huyo nyoka anaspidi ya mwanga, huwa hakimbiwi. Ukisimama kidete huwa wanakimbia wenyewe.Sasa nikikimbia atanipataje??
Sasa mkuu anaweza shindana mbio na mimi??Mkuu huyo nyoka anaspidi ya mwanga, huwa hakimbiwi. Ukisimama kidete huwa wanakimbia wenyewe.