Asante sana mkuu kwa maelezo yako,Pole kwa ndoto Jimena! Ndoto ni maono kamili kutoka kwa Mungu, kila ndoto inamaana changamoto ni kupata tafsiri yake. Nianze kwa kusema wewe ni (Jina lako halisi) wala si nyoka, kama kuna kisasi umekiweka ndani ya MOYO wako juu wa mtu/watu fulani acha hicho kisasi na usamehe.
Kaunga huyo ana JIKUTA ATHEIST! soln HAMWAMINI MUNGU!!! HUKO ALIPO KUNA MDANGANYA!Una spirit ya nyoka, kuna watu ulitaka kuwaangamiza (huwenda walikuudhi au unataka kuwaangamiza for the sake of it. Maana shetani ni muuaji, muharibifu na ni mwizi kwa asili). Lakini hukuweza maana vigezo ulivyokuwa unavitumia vilikuwa vinatibuliwa. Sijui maisha yako ya kiroho yakoje. Lakini hata kama tafsiri hii ya ndoto si sahihi, haitakuumiza ukijisogeza zaidi kwa Mungu for salvation of your soul. Mwisho I cover this and you with the Blood of Jesus. Amina.
ila shetani alikuwepo kwenye bustani ya Edeni eeh?Mmmh hii ya kuangamiza watu haiwezi kuwa kweli maana hakuna mtu nnaentaka kumuangamiza
Ila shetani hakuwepo ndotoni kabisa mkuu
Unamfuata njiwa mzuri kwa chakula......huenda kuna mkaka unampenda ambaye unaona anakufaa. Lakini Mungu na wewe mnajua kabisa ukimpata utamuangamiza (financially., socially, spiritually). Hivyo Mungu anaamua kumgeuza ili asipendeze machoni mwako (nyoka/evil spirit); then unaacha kumfuata. Wewe the mortal you huna kisasi na mtu lakini the evil spirit (nyoka) in you is there to steal, kill and destroy. Bado chunguza uhusiano wako na Mungu. Any contrary and familiar spirit in you should chased out in The Name of Jesus.Asante sana mkuu kwa maelezo yako,
Na kama sina kisasi na mtu je? Hii inaweza kuwa nini?
Maana hakuna mtu ambae nna kisasi nae
Majibu yapo ndani ya neno "FASIHI"Mkuu mbona hujajibu hata swali moja kati ya niliyouliza?
Hebu nipe mfano wa hayo wa hayo mambo ya kishetani?Ukitafsiri kwa kutumia vitabu vya dini ni kwamba nyoka ni shetani na njiwa ni mwema na kunguru aliasi maagizo ya nuhu alipomtuma kwenda kuangalia hari ya usalama nje na hakurudi baada ya kuona mizoga
tafsiri;wewe unafanya mambo ya kishetani lakini haya mambo wewe binafsi unayaona mema lakini mambo hayo yatakuletea mambo mabaya jichunguze
Shetani ni mhusika fake kwenye hivyo vitabu wanavyoviita vya MunguTatizo lako we unajikuta atheist! Na bado mpaka utakapo mtubia mungu!
Wewe ni mfano wa shetani ambaye huwa kuna muda unataka kubadilika na kumfuat mungu!
Lakini kuna kipindi huwa unajifAriji hati mungu........
Soln! MWAMINI MUNGU LASIVYO UTAUNGANA NA SHETANI ambaye ni huyo NYOKA!
Kumbe shetani ni nyoka...Tatizo lako we unajikuta atheist! Na bado mpaka utakapo mtubia mungu!
Wewe ni mfano wa shetani ambaye huwa kuna muda unataka kubadilika na kumfuat mungu!
Lakini kuna kipindi huwa unajifAriji hati mungu........
Soln! MWAMINI MUNGU LASIVYO UTAUNGANA NA SHETANI ambaye ni huyo NYOKA!
Ngoja tumsubiri aje tumsikie maneno yakeNi mjinga tu ndo anayepuuzia ndoto, ndoto huwa zina maana sana. Hata hii yako huwa ina maana, ndoto zisizo na maana huwa hazishtui nafsi ya mtu baada ya kuamka.
Cha msingi Mkuu mtafute jamaa anayeitwa freedom tommorrow, yeye ni best katika kutafsiri ndoto humu.
Wanamsingizia tu bro...I think ndugu Shetani was not even ugly as we portrayed him!Kumbe shetani ni nyoka...