Nyoka wa ajabu

kwa kuwa aliwaona njiwa akiwa kwenye hali ya nyoka na kwamba alikwea mti angali nyoka kumfuata aliyegundua baadaye ni kunguru basi vielelezo vikiletwa na shahidi nyoka vitakuwa na nguvu sana!
We ulishawahi kufanya kitu ndotoni na matokeo yakabaki kiuhalisia?
Mfano kuchuma majani kama unavyoshauri hapo?
 

Unachokifikiria ni Philosophical sikiliza kuhusu huyu philosopher.

 
Haaah
 
Hayo ni maluwe luwe au mawenge,hakuna maana hapo.
 
ha ha jimena bana katika hyo ndoto hukuona wenzio wasioamini Mungu wapo katika maumbo gani??@ kiranga hakuwa na umbo la wale kunguru kweli? CHUAKACHARA ndo manaji ya mti nusuhela akiwa matawi Fundi chupi akiwa magamba ya nyoka @freeideas akiwa mbawa za njiwa
 
....kumbe haamini Mungu huyu manzi?
..nimepoteza muda bure kusoma huu upupu!
 
Hhmm.. Ugenini, haya.
 
Una spirit ya nyoka, kuna watu ulitaka kuwaangamiza (huwenda walikuudhi au unataka kuwaangamiza for the sake of it. Maana shetani ni muuaji, muharibifu na ni mwizi kwa asili). Lakini hukuweza maana vigezo ulivyokuwa unavitumia vilikuwa vinatibuliwa. Sijui maisha yako ya kiroho yakoje. Lakini hata kama tafsiri hii ya ndoto si sahihi, haitakuumiza ukijisogeza zaidi kwa Mungu for salvation of your soul. Mwisho I cover this and you with the Blood of Jesus. Amina.
 
Pole kwa ndoto Jimena! Ndoto ni maono kamili kutoka kwa Mungu, kila ndoto inamaana changamoto ni kupata tafsiri yake. Nianze kwa kusema wewe ni (Jina lako halisi) wala si nyoka, kama kuna kisasi umekiweka ndani ya MOYO wako juu wa mtu/watu fulani acha hicho kisasi na usamehe.
 
Sikuwaona kabisa hayo niliyoandika ndio pekee niliyopata kuyaona ndotoni, Doyi buana
 
Mmmh hii ya kuangamiza watu haiwezi kuwa kweli maana hakuna mtu nnaentaka kumuangamiza
Ila shetani hakuwepo ndotoni kabisa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…