Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,156
- 31,045
Huyu ana ulemavu tu
Huyu ana ulemavu tu
Hata wao ndivyo walivyosemaIngekuwa kwetu uswahilini, tungeambiwa ni dalili ya kiama.
Tunapigwa changa la macho kabisa. La katikati ni gamba kabisa wala sio jicho! Mbona halina mkato wa katikati kama hayo mawili!Mbona ni mawili hilo juu ya kichwa ni gamba tu.
Badoo hawajatufikia sisi mpka tunanyoka mwenye makengeza (mtemi chenge)
Tungehitimisha ni ushirikina/uchawi.Ingekuwa kwetu uswahilini, tungeambiwa ni dalili ya kiama.
😂😂😂😂😂😂😂Ingekuwa kwetu uswahilini, tungeambiwa ni dalili ya kiama.