Nyoka ili akudhuru ni lazima muwe mnagombania njia, umchokoze au umkanyage,Simba ni mnyama mtata sana!Koboko huyo!!!! Tunao wengi sana huku kwetu Katavi. Bora ukutane na simba Ila si huyo jamaa.
Hakuna jinsi zaidi ya kumgonga!
Nakubaliana na wewe mkuu!Sio koboko huyo, koboko ni mrefu lakin hata azeeke vp hawez kufikia unene huo, hilo ni chatu halina sumu
We mwanamalilo muuongo huyo ni chatu
Teh teh tej,inategemea na aina ya gari,kama ni hivi vitz,lazima upate madhara!Kwa ukubwa huo waweza mgonga na akikurupuka gari isiyumbe na kuleta shida???!!!!
The answer is very straight forward,ni muongo mkuu,acha siasa!Ha ha haaa atakuwa amekosea, sio muongo!!!
Anataka kudanganya watu mchana kweupee!We mwanamalilo muuongo huyo ni chatu
Duunh sasa kama uko spidi hapa unafanyaje????!!!!
Anasumu Kali na ana hasira kweli. Anaua hadi ng'ombe 50 kwa mpigo. Huyo nyoka sikia na muone kwenye picha kama unavyomuona hapo.
Mm, mie ningezimia ninge muona live.. Naogopa nyoka hata awe mduchu...
Mi na nyoka hatuivi kabisa
Teh teh tej,inategemea na aina ya gari,kama ni hivi vitz,lazima upate madhara!
The answer is very straight forward,ni muongo mkuu,acha siasa!
Hakuna jinsi zaidi ya kumgonga!
Unafanyaje ukiwa na spidi halafu mbele yako unakuta rasta??