Wanaua kabla ya kukua...mimi naomba mnifafanulie kwanini hakuna masai albino?
Nipo mkoa wa morogoro ndugu
Hakuna shimo kabisa maana sakafu ni cementLabda kuna shimo lake huko stoo kwenu...
Ila hawa viumbe wanaopenda kurandaranda majumbani dawa yao ni kuwageuza vitoweo tu...
Viumbe kama hao huwezi kuwakuta wanarandaranda kwende stoo/nyumba za Wachina...
Wakizaliwa huwa wanauwawa na ndiyo maana huwezi kumkuta mmasai kilemamimi naomba mnifafanulie kwanini hakuna masai albino?
Tulitoa vitu vyote kukawa hakuna kitu kabisaNyoka anauwszo wakujiminya sana na akapenya sehemu ambayo hutoamini.....lakini kuna mazingira tata hapo kwamba mlivyochoma mpira then akatoka, lakini alivyowaona akarudi ndani ambako kuna nukia mpira..!!!! Ukute jirani yako huyo.
Anyway kama stoo palikua na vitu ukute kajikunyata humo ndani
Imeshawahi kumtokea rafiki yangu pia,nyoka aliingia chumbani na hakutoka,walifunga mlango wakamwaga mafuta ya taa hakutoka na walipomsaka hakupatikana,mimi pia Panya aliingia chumabni kwangu,na tulimsikia akitusumbua usiku mzima, tulipoamka asubuhi kabla ya kufungua mlanguo tulimsaka chumba kizima hakuonekana.Mimi kwa imani yangu naamini kuwa inawezekana ni nguvu za giza ,nilichofanya nimepiga maombi na sijaona huyo panya mpaka leo.Habari zenu wana jukwaa, kama kichwa cha habari kilivyo jieleza hapo juu ni kwamba siku chache zilizopita nyoka aliingia nyumbani(stoo), kitu cha kwanza tulicho kifanya ni kuchoma Mpira (mnati) baada ya muda alitoka, lakini alipo tuona akarudi ndani, kwakua ilikua ni usiku tukaamua kufunga mlango wa stoo. kesho yake asubuhi tulimtafuta sana yule nyoka hakuonekana kabisa na hakuna uwezekano wowote wa kutoka kutokana na mazingira yalivyo kuwa, baada ya kuwaelezea majirani walisema hiyo hali huwa ni kawaida kutokea na nmyoka huwa anapotea. wenye ufahamu na hili jambo naomba mnifafanulie nielewe.
😱Nilijua tu...wakaguru wanajua ni nini hicho..kunzia njia panda ya berega mpaka gairo..michezo ya kijinga hiyo.
Shida mgunduzi,.
Na baadhi ya watu nilivyo waeleza walisema hili jambo hutokea sanaImeshawahi kumtokea rafiki yangu pia,nyoka aliingia chumbani na hakutoka,walifunga mlango wakwaga mafuta ya taa hakutoka na walipomsaka hakupatikana,mimi pia Panya aliingia chumabni kwangu,na tulimsikia akitusumbua usiku mzima, tulipoamka asubuhi kabla ya kufungua mlanguo tulimsaka chumba kizima hakuonekana.Mimi kwa imani yangu naamini kuwa inawezekana ni nguvu za giza ,nilichofanya nimepiga maombi na sijaona huyo panya mpaka leo.
Habari zenu wana jukwaa,
Kama kichwa cha habari kilivyo jieleza hapo juu,
Ni kwamba siku chache zilizopita nyoka aliingia nyumbani(stoo), kitu cha kwanza tulicho kifanya ni kuchoma mpira (mnati) baada ya muda alitoka, lakini alipotuona akarudi ndani.
Kwakua ilikua ni usiku tukaamua kufunga mlango wa stoo. Kesho yake asubuhi tulimtafuta sana yule nyoka hakuonekana kabisa na hakuna uwezekano wowote wa kutoka kutokana na mazingira yalivyokuwa, baada ya kuwaelezea majirani walisema hiyo hali huwa ni kawaida kutokea na nyoka huwa anapotea.
Wenye ufahamu na hili jambo naomba mnifafanulie nielewe.