sawima
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 5,646
- 8,736
😀😀😀😀Watu wengi waliokutana nae wakatulia wakasali sala zao mwisho wameokoka hakuwagusa, ila ukijifanya we ni mwamba, unakimbia huku unapiga makelele...ni anakukimbiza huku anakugonga double double mpaka unageuka rangi ya chungwa
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Eti anakugonga double double hadi unageuka rangi ya chungwa.



