Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,914
- 831,307
Ni kuomba Mungu tu usikutane na huyo mdudu maana hata Kama humjui ile jeuri yake tu utajua kuwa ninaemsikia ndio huyu😂😂😂😂mh... mkuuu Maisha haya mungu tu ndo anatulinda aisee maana pengine usimsikie then ukakutana nae hauko equiped sijui inakuaj hapo
Looh Sasa akosee itakuwaje mkuu hapa🏃🏃🏃
Mikwara yake ya kusimamia mkia kichwa kidogo macho mekundu makubwa utafiki katoka kula ule unyasi Fulani yaani ni balaainaonekana ana fujo hatari
Dawa nyingine chukua kundi la kondoo wengi waswage uwapitishe alipo atagonga mmoja tu na kuishiwa sumu na mnamuua Sasa bila shida,ila ukubali kupeteza kondoo mmoja.inaonekana ana fujo hatari
ukishapata hvo vitu then unavitumiaje mkuu? maana huo ndo utaalamu wenyewe.Kama uko mahali unaweza kupata mafuta ya taa na pamba kidogo au tambara laini unamuua kirahisi. Utotoni kijijini timewaua sana hawa na tulikuwa tunawapeleka kwa bibi fulani hivi anatupa asali. Good ole days...
uyo koboko anaweza kugonga hata ng'ombe 70 kwa mara mojaDawa nyingine chukua kundi la kondoo wengi waswage uwapitishe alipo atagonga mmoja tu na kuishiwa sumu na mnamuua Sasa bila shida,ila ukubali kupeteza kondoo mmoja.
mh mkuu ni sawa tu kwani uhai wa kondoo hauthaminishwi na uhai wa mwanadamu..Dawa nyingine chukua kundi la kondoo wengi waswage uwapitishe alipo atagonga mmoja tu na kuishiwa sumu na mnamuua Sasa bila shida,ila ukubali kupeteza kondoo mmoja.
Kondoo ana mafuta mzee baba so ngurue ndio kabisa hata Hadi yaani trust mieuyo koboko anaweza kugonga hata ng'ombe 70 kwa mara moja
Ukikimbia anakufukuza, na huwezi kumzidi mbio huwa anataka mzipange ngumi sio eti ukimbieAisee huyo bora kukimbia eneo la tukio kupambna nae ni kujihatarishia maisha maana lolote laweza kutokea.

Ukikimbia anakufukuza, na huwezi kumzidi mbio huwa anataka mzipange ngumi sio eti ukimbie
Yaan yeye anapenda ugomvi kuliko kula
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app


kwa hiyo mpaka mshindi apatikane??Ila Sasa mkuu umeanza kutoka kwenye uhalisia unaanza comedian Sasa nimecheka mno😂😂😂😂😂Ukikimbia anakufukuza, na huwezi kumzidi mbio huwa anataka mzipange ngumi sio eti ukimbie
Yaan yeye anapenda ugomvi kuliko kula
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
🤣🤣🤣🤣kwa hiyo mpaka mshindi apatikane??
Huyu anashindaga kwenye mashamba ya bangi anakula majani mabichi ya bangi ndo maana yuko very confused kupita kiasiMikwara yake ya kusimamia mkia kichwa kidogo macho mekundu makubwa utafiki katoka kula ule unyasi Fulani yaani ni balaa

😂😂😂🏃🏃🏃🏃Huyu anashindaga kwenye mashamba ya bangi anakula majani mabichi ya bangi ndo yuko very confused kupita kiasi
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app