Nyoka Koboko au Black Mamba

nouma Sana, kwamba ni show show yaani
Mkorofi sana...kiufupi hapendi kelele

Wewe mkigonganisha macho inama tulia, simama usitingishike atajua huyu hana noma na mimi....lkn eti mmekutana unatafuta fimbo, huku unasonya sonya, umepagawa na mikelele...lazima akupe kubwa!

Hapendi mtu mwenye kiherehere

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Mkorofi sana...kiufupi hapendi kelele

Wewe mkigonganisha macho inama tulia, simama usitingishike atajua huyu hana noma na mimi....lkn eti mmekutana unatafuta fimbo, huku unasonya sonya, umepagawa na mikelele...lazima akupe kubwa...
nasikia eti anagonga utosini tu?
 
Asante kwa uzi mzuri wa mwamba koboko,ila huyo kwenye hiyo picha yako siye black mamba,kwa uwiano wa ukubwa wa huyo pichani angekuwa ni black mamba urefu wake ungekuwa zaidi ya hiyo nusu yake.
kwa maana black mamba anazidi urefu wa huyo pichani??
 
Mkorofi sana...kiufupi hapendi kelele

Wewe mkigonganisha macho inama tulia, simama usitingishike atajua huyu hana noma na mimi....lkn eti mmekutana unatafuta fimbo, huku unasonya sonya, umepagawa na mikelele...
Wanaosema ubebe sufuria la uji ina maana hagongi sehemu tofaut ya mwili zaid ya kichwani?
 
Mkorofi sana...kiufupi hapendi kelele

Wewe mkigonganisha macho inama tulia, simama usitingishike atajua huyu hana noma na mimi....lkn eti mmekutana unatafuta fimbo, huku unasonya sonya, umepagawa na mikelele...
1.kwa hiyo kama anamgonga mtu huwa kuna dawa yoyote
2.kama ikigundulika sehemu flani kuna koboko huwa mnachukua hatua gani??
 
Aisee huyo nyoka ni kasheshe mzee anaweza tembeza bites kwa wachangiaji wote wa huu uzi kwa dakika moja.

Ila pamoja na ununda wake wote koboko hatambi kwa mangoose, mara kadhaa nimeona koboko akiuliwa na hiki kimnyama.
.huyu ni mwamba, huyo nguchiro naye ana sifa gani ya hatari??
 
Uzi wa kumhusu huyo jamaa upo humu na umeelezewa kinagaubaga yaani nje ndani kumhusu.
 
Back
Top Bottom