Joshua Mbezi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2024
- 1,508
- 2,903
Bila shaka ule mwendo ulimtisha kila mmoja aliyekuwa ndani ya Nyumba
Licha ya jitihada zilizotumika kumtafuta nyoka bila mafanikio Leo Kuna watu watalala masikio yote yakiwa nje wakisikia kila kitakacho gonga juu ya bati ili wawahi kutoka nje kuokoa nafsi zao 😂😂