Nyoka aliyezua gumzo kwenye mitandao ya kijamii

Nyoka aliyezua gumzo kwenye mitandao ya kijamii

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,037
Reaction score
34,742
[h=3]NYOKA ALIYEZUA GUMZO KWENYE MITANDAO YA KIJAMII[/h]

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
<tbody>[TR]
[TD] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Muunganiko wa picha za anayedaiwa kuwa nyoka mkubwa aliyeuawa Misri[/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]
MTU asiyejulikana amezua mjadala mkubwa kwenye mitandao ya kijamii baada ya ku-post picha ya anayedaiwa kuwa nyoka mkubwa wa aina ya Anaconda, anayedaiwa kuuawa kwenye Bahari ya Shamu baada ya kuua watalii 320 na madereva 125 wa Misri.

Taarifa ya mtu huyo ambayo haijathibitishwa, ilidai kuwa nyoka huyo aliuawa na timu ya wanasayansi wakubwa wa Misri na wapigambizi waliofuzu.

Yakatajwa pia mjina ya wanasayansi waliodaiwa kufanikisha kuuawa kwa nyoka huyo kuwa ni Dk. Karim Mohammed, Dk. Mohammed Sharif, Dk. Mr. Sea, Dk. Mahmoud na Dk. Mazen Al-Rashidi.

Wapigambizi waliotajwa katika kumkamata nyoka huyo mkubwa ni Ahmed ambaye alikuwa kiongozi wa shughuli hiyo, Abdullah Karim, mvuvi Knight, Wael Mohammed, Mohammed Haridi, mpiga mikuki Alvajuma na Mahmoud Shafik, ambaye ni polisi.

Ikadaiwa kuwa mwili wa nyoka huyo umepelekwa katika makumbusho ya kimataifa ya wanyama Misri ya Sharm El Sheikh.

Hata hivyo, mijadala katika mitandao ya kijamii imeshambulia vikali taarifa hiyo ikisema haina ukweli wowote.
 
kwa aina ya Anaconda inawezekana kabisa maana kwenye utafiti (World Biggest Giant Anaconda [National Geographic HD])

lakini urefu wake bado una utata

Last edited by a moderator:
hata huko Brazil alishapatikana wa urefu wa 26foot kwenye ziwa
 
Last edited by a moderator:
pamoja na picha na video kutoka youtube hakuna utafiti ambao kiuhalisia unatambulika ulishafanyika wa hawa Anaconda na ukathibitishwa kuwa wapo kweli maana huyo aliyezua gumzo lazima iwe gumzo kweli kuthibitisha hilo na kama ni kweli pia mbinu za kumuua au kumkamata bado italeta utata mwingine.
Nimejaribu kufuatilia Google na hii wanasema

"" The Wildlife Conservation Society has since the early 20th century, offered a large cash reward (currently US$50,000) for live delivery of any snake of 9 metres (30 ft) or more in length, but the prize has never been claimed, despite the numerous sightings of giant anacondas""
 
Would you risk being swallowed by that Goddamned thing for 50K? No way, a million bucks may be. I would hunt that thing down only if i have expensive high tech protective gear.
 
I have seen those pics long time ago, mara nyingi kwenye picha hizo kumejaa virus za hackers wanaohack kwa phising, kwa hiyo wanaphotoshop picha za ajabu kuwavutia watu wafungue ili waweze kuwahack. There will definately be more of this kama mtu anapenda kuziweka hapa, lakini cha muhimu ni vizuri kuwafahamisha wana JF kuwa these are mostly hoax. lakini kuna baadhi zinakuwa za kweli, kama moja ya kule malaysia.

Kwa mtu anayejua kusoma kwenye mistari anaweza kujua kabisa kuwa that kind of snake can not be found in Nile or red sea, na crane kama ile haiwezi kunyayua kiumbe anayefurukuta mwenye ukubwa ule. Wabingi wengi ndio kwanza wameanza kupata access ya internet kwa hiyo wanayoona kwenye internet wanadhani kuwa ni ya kweli.
 
Mbona anaitwa Anakonda wakati amenenepeana au ndio anakonda sasa?

Amavubi umeanza siku kwa kunijeruhi mbavu zangu! Haitwi AnaKOnda bali AnaCOnda! Two different things! Have a quality weekend.
 
Last edited by a moderator:
pamoja na picha na video kutoka youtube hakuna utafiti ambao kiuhalisia unatambulika ulishafanyika wa hawa Anaconda na ukathibitishwa kuwa wapo kweli maana huyo aliyezua gumzo lazima iwe gumzo kweli kuthibitisha hilo na kama ni kweli pia mbinu za kumuua au kumkamata bado italeta utata mwingine.
Nimejaribu kufuatilia Google na hii wanasema

"" The Wildlife Conservation Society has since the early 20th century, offered a large cash reward (currently US$50,000) for live delivery of any snake of 9 metres (30 ft) or more in length, but the prize has never been claimed, despite the numerous sightings of giant anacondas""
watu wanavyopenda pesa wasingeziacha hizo dollar
 
kwanza hii habari ni ya siku nyingi sana, pili hii habari ilikuwa hoax, ungepost picha nyingine ningekuelezea kwa nini hii habari ni hoax na ni mambo ya masoftware hayo....
 
Mh! Jinsi technolgy inavyokua ndivyo tunavyozidi kudanganyana,
picha zinatengenezwa kwenye photoshop halafu tunaaminishwa
kuwa ni kitu halisi. Nakubaliana na wale wanaosema kuwa these
are mostly hoax
...
 
MziziMkavu we need independent verification isijiwe kuwa ni photoshop..............

wasiwasi wako ni sahihi mkuu..................its fake,fake,fake.............hakuna anaconda kwenye maji chumvi bana.japo sipingi uwezekano wa kuwepo 'dude' kubwa kama hilo,MUNGU nae 'mtundu' sana kwenye kuumba umba haya makitu...we ona tu alivyoniumba mimi!
 
wasiwasi wako ni sahihi mkuu..................its fake,fake,fake.............hak una anaconda kwenye maji chumvi bana.japo sipingi uwezekano wa kuwepo 'dude' kubwa kama hilo,MUNGU nae 'mtundu' sana kwenye kuumba umba haya makitu...we ona tu alivyoniumba mimi!

Rubuye123 uko wapi mbona sikuoni alivyokuumba maana hata kwenye hiyo avatar yako haupo............
 
Back
Top Bottom